theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
★ PATA MKE SAHIHI
Achana na wanawake Warembo ila Kichwani ni Zero. Tafuta mwanamke ambaye sio tu ataunga mkono maono yako lakini pia atakusukuma ili uyafikie maono.....
Mwanamke atakaye kuvutia upambane sio kukukatisha tamaa. Siku zote wahenga husema " Apataye mke mwema apata kitu chema.....
★ ACHA KUNYWA VINYWAJI VYA BEI RAHISI NA CHAKULA CHA BEI RAHISI
Sio tatizo kutoka out mara moja moja ukijumuika na Wenzako au wakati Unatengeneza Network ila Ujue unapokunywa Vinywaji vya rahisi au chakula cha bei rahisi maeneo rahisi unakutana na watu rahisi wasio na mawazo Makubwa na Pengine mawazo rahisi ya baadae.....
Nafasi kubwa za Kibiashra zinapatikana mahali ambapo Vinywaji ni ghali au chakula Ghali. Kwa hiyo maeneo wanakouza Vinywaji au chakula rahisi aina ya watu utakaowakuta ni wale ambao watakuomba pesa au Uwanunulie....
Pia wanaweza kukufurahia kuwa mnunuzi mkubwa amefika, pata marafiki wazuri watakaokupa changamoto za kuendelea kimaisha, achana na marafiki wasio na faida yoyote......
★ ACHA UVIVU
Fanya kazi kwa bidii sio unalala sana kutwa umekaa tu kupiga majungu au soga tena nyingine ni story za kuita watu wenye Maendeleo ni Freemason kila siku unalalamika....
Usipoacha Uvivu umasikini Unakuotea......
★ TAMBUA VITU VINAVOZALISHA
Ukiwa na tabia ya kuwaza hovyo utakuwa na maisha ya hovyo. Kuna watu ambao wako vizuri sana kuzungumza habari za Wanaume au wanawake, mpira, Sinema, nani Tajiri nani masikini, kushindia kwenye mitandao ya kijamii WhatsApp instagram au facebook wakati haingizi chochote mfukoni , nani hana au ana nini n.k lakini hazungumzii Uwekezaji, Ubunifu Biashara n.k hili haliiitaji elimu ya Chuo kikuu.....
★ JIUNGE/KAA NA WATU WAKUBWA
Watu wengi hufeli kwa kuwa hawana watu ambao wanaweza kujifunza kwao. Hata Simba ama Chui hujifunza kuwinda kwa wakubwa wao....
In short KAA NA WALE WALIONACHO, Usiishi kama MBUZI bila ratiba yoyote maisha ni kupanga na kuchagua, hata aliye mzee wa sasa jana alikua kijana kama wewe, ukichezea ujana wako na muda wako wa sasa badae usisumbue watu, usipojipanga subiri maisha yatakupanga......
★ FANYA KAZI
Acha kupoteza Muda mrefu kushindia kanisani kusubiri Mazoezi ya kwaya au Kusali na Kufunga bila Kazi wakati Biblia imeagiza Mungu atabariki kazi ya Mikono yako, baraka zitakufuata Wakati unafanya kitu......
Usitumie sala, mizunguko ya uimbaji ziara zisizokua na kikomo au mialiko mfululizo mwaka mzima kama kigezo cha Kutofanya Kazi kwa bidii au kujificha kwenye kichaka cha uinjilisti bila kufanya kazi, kumbuka leo yako ndio hatima yako ya badae.....
★HITIMISHO
Utakachopanda sasa ndicho utakachovuna badae/kesho....
Niwatakie Mfungo Mwema......