Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

ndiyo maana nasema Google inakuharibu badala ya kukujenga

una copy/paste maandiko huko na kuweka hapa , ilihali hujui kilicho ndani yake

amka kijana
 
.

So, while programming is a necessary tool for building AI systems, it is not the same as AI itself. AI encompasses a wide range of technologies and techniques that are used to build intelligent systems.
Lakini kama programming ni necessary tool for building AI systems kwanini ulisema programming haina ishu itajifia?
 
Ndo maana kazi ya kutengeneza Al ina jumuisha watu wa kada mbalimbali mfano computer science, programmer , system analyst, computer Engineer, ili Al hii act kama human lazima hijifunze kufanya maamuzi kutokana na data bila kusahau Algorithm, kwaiy programming language haikwepeki kwenye Al.

Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
 
Lakini kama programming ni necessary tool for building AI systems kwanini ulisema programming haina ishu itajifia?
Hata Engineering students wanasoma programming lakini huwezi kuwaita programmer, same kwenye AI, programming ni kama tool ya kufanyia kazi zao
 
Na sifa moja wapo ya kusoma tensorflow lazima uwe na intermediate programming background... huyu jamaa ndio haelewi
 
Hata Engineering students wanasoma programming lakini huwezi kuwaita programmer, same kwenye AI, programming ni kama tool ya kufanyia kazi zao
So unachomaanisha ni kwamba AI engineer atakua anajua programming ya kumtosha kwa ajili ya ishu za AI hivyo hahitaji programmer?
 
Programming inakaribia mwisho na sio siku nyingi itakuwa useless, kama una uwezo na nafasi kasome machine learning or artificial intelligence in general
Wewe jamaa unajifanya mjuaji wakati hujui chochote. Uwezo wako ni end user.
 
sidhani kama anajua hata language moja, maandiko yote ana gugo na kupachika hapa
Nina uhakika najua kuliko wewe , rudini kwenye original post mmeshauriwa mtengenze game za kindergaten labda ndio mnachoweza, sijui hata kama hapo bongo mna any ai course
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…