Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

Tofauti ya AI na programming ni ndogo sana matter of fact programming ndo career pekee inayokuwa kwa kasi ya 7g

Hio ML au AI ni mwendelezo tu wa Programming kwani bila Programming hivo vitu visingakuwepo mkuuu 😁
Programming ni lazima kama unataka kuunda AI yako au kuiboresha. Ila kama unataka kutest data / inputs kupitia AI libraries walizotengeneza wengine hapo maana yake wewe ni end-user wa AI so programming hata basic kwako inatosha.

Tena naweza kusema kwenye kutengeneza AI ndiko ambako programming languages zinatumika zaidi very seriously.
Nimeona jinsi gani nilivyostruggle kutengeneza game dogo tu ambalo linacheza bao vs binadamu na bado halijaboreka, linahitaji too deep search ambayo implementation yake ni ngumu.
 
Haha inataka kujitoa haswa haswa 😁💭
 
Soon programing zote zitafanywa kwa kutumia natural languages, hizo programing languages tunazotumia sasa kama python, js etc soon will be dead, najua mtabisha ila time will tell
 
Sawa, AI tayari zinaweza andika piece of codes kumsaidia binadamu kukamilisha project lakini AI kama AI haiwezi chukua nafasi ya binadamu fully katika programming.

Hata hizo codes sometimes inatakiwa uzikague kwa sababu AI haiwezi jua mawazo yako yote katika project.
Usitake kuniambia kwamba AI inaweza tengeneza game kama la FIFA fully bila binadamu kuhusisha uwezo wake aliokuwa nao katika programming.
 
Tofauti ya AI na programming ni ndogo sana matter of fact programming ndo career pekee inayokuwa kwa kasi ya 7g

Hio ML au AI ni mwendelezo tu wa Programming kwani bila Programming hivo vitu visingakuwepo mkuuu 😁
Nilisoma mahala ktk mtandao wa Quora waliandika kwamva waliobuniAA hawakuwahi andika hata single line of code.
Binafsi nulishangaa sana. Inaonekana neuroscience imehusika sana.
Programming imekuja baadae sana. Siku taka kufuatilia ukweli wake, unaweza fanya research kama ni kweli au la.
 
Sawa, AI tayari zinaweza andika piece of codes kumsaidia binadamu kukamilisha project lakini AI kama AI haiwezi chukua nafasi ya binadamu fully katika programming.

Hata hizo codes sometimes inatakiwa uzikague kwa sababu AI haiwezi jua mawazo yako yote katika project.
Usitake kuniambia kwamba AI inaweza tengeneza game kama la FIFA fully bila binadamu kuhusisha uwezo wake aliokuwa nao katika programming.
Subiri, ni swala la muda tuu, hata sasa AI inaweza kutengeneza simple applications ingawaje sio perfect lakini can be useful, kama machine inaweza kutengeneza picha kwa text command sioni kwanini ishindwe kuandika applications, mid journey inafanya vitu crazy ambavyo 2 years ago hakuna mtu alikuwa anaamini kama inawezekana, machines are taking over huo ndio ukweli
 
wakati Google Translator inatoka, 2006 , ambayo iko na AI-powered features, tulitegemea zile kazi za translations zinazofanywa na binadamu zingekufa

lakini imekua kinyume chake, AI haiwezi replace binadamu hasa kwenye coding/programming

baadhi ya forums kubwa StackOverflow, Arduino zimeanza lamba permanent IP bans kwa member yeyote anayetumia izo AI applets kujibu au kugenerate maswali
 
Tulia wewe, kama umetumia gpt4 utaelewa soon or later natural language ndio itakuwa new programming language, nafikiri uliona ile demo from sketch to full functional website wakati wanafungua GPT 4, kazi zangu nyingi hapa nilizokuwa natumia a week kumaliza sasa 20 minutes ni nyingi sana, tupo gpt4, imagine GPT 10...maisha yamebadilika ila inaonekana huko mmelala bado
 
siwezitumia, AI is for mere fools
Wewe ndio wale programmer wa bongo? kwa attitude hiyo ndio maana bongo hakuna hata local software company moja au ni ubabaishaji mtupu, unashangaa kila chuo kina computer science course lakini software industry ni zero, mnasoma nini nyie?
 
Hawata kuelewa
Zamani IT wa kibongo ilikuwa dili kukutengezea website, wanakupulumba na vilugha vyao vyao sijui java mara nachomeka php, inakuja kutokea sijui jsnode🤣🤣🤣
Sasa kila mtu anakitengenea website mwenyewe haitaji hata kuyajua hayo kila kitu kimewekwa
Na ndio huu upuuzi wa programming, kila kitu kinawekwa sawa, na sasa watu wanajitengenezea AI kwa kuchukua feeds za OpenAI, na unajitengenezea mfano wa chatgtp yako mwenyewe
 
Hizo framework zenyewe zinazotumika kurahisisha kazi kusanidiwa na watu wenye uelewa wa programming in deep. Kwanza mpaka sasa bongo wengi wanaotengeneza hizo webs wala hazina ufanisi mzuri kutokana na tabia ya kutumia templates bila kuelewa coding. Unakuta zinamwonekano nzuri lakini katika utendaji hamna kitu.
 
Subiri, ni swala la muda tuu, hata sasa AI inaweza kutengeneza simple applications ingawaje sio perfect lakini can be useful, kama machine inaweza kutengeneza picha kwa text command sioni kwanini ishindwe kuandika applications, mid journey inafanya vitu crazy ambavyo 2 years ago hakuna mtu alikuwa anaamini kama inawezekana, machines are taking over huo ndio ukweli
Movies tofauti na program bro.
Movie ni series of scene amabayo matumizi yake yanaendana na muda unaotumia (constant time), once ikitengenezwa then inabaki vile vile kwahiyo sio issue kwa AI.
Program ni kitu ambacho kinabadilika kimatumizi so kinaweza kuwa affected kutokana na input kulingana na matumizi ya mtumiaji ndio maana program inahitaji debugging.
Movie is just output so it's not issue for AI.
 
wakati Google Translator inatoka, 2006 , ambayo iko na AI-powered features, tulitegemea zile kazi za translations zinazofanywa na binadamu zingekufa

lakini imekua kinyume chake, AI haiwezi replace binadamu hasa kwenye coding/programming

baadhi ya forums kubwa StackOverflow, Arduino zimeanza lamba permanent IP bans kwa member yeyote anayetumia izo AI applets kujibu au kugenerate maswali
Bado umelala usingizi mzito sana, kama wewe ni software Engineer unayeishi kwa kuandika code, debug , explain etc anza kutafuta kitu kingine cha kufanya
 
Tulia wewe, kama umetumia gpt4 utaelewa soon or later natural language ndio itakuwa new programming language, nafikiri uliona ile demo from sketch to full functional website wakati wanafungua GPT 4, kazi zangu nyingi hapa nilizokuwa natumia a week kumaliza sasa 20 minutes ni nyingi sana, tupo gpt4, imagine GPT 10...maisha yamebadilika ila inaonekana huko mmelala bado
Gpt 10 itatoka kwenye mwaka 2067 swali utakuwepo?
 
Back
Top Bottom