Yes INDEED
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 304
- 622
Anachekesha sana huyo programming ndo mama laoOk kumbe machine learning na artificial intelligence ni tofauti na kufanya programming et?🤔🤔🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anachekesha sana huyo programming ndo mama laoOk kumbe machine learning na artificial intelligence ni tofauti na kufanya programming et?🤔🤔🤔🤔
Haelewi anachoongea huyucomment ya ovyo kabisa kupata kutokea tangu 1997
Programming ni lazima kama unataka kuunda AI yako au kuiboresha. Ila kama unataka kutest data / inputs kupitia AI libraries walizotengeneza wengine hapo maana yake wewe ni end-user wa AI so programming hata basic kwako inatosha.Tofauti ya AI na programming ni ndogo sana matter of fact programming ndo career pekee inayokuwa kwa kasi ya 7g
Hio ML au AI ni mwendelezo tu wa Programming kwani bila Programming hivo vitu visingakuwepo mkuuu 😁
Haha inataka kujitoa haswa haswa 😁💭Programming ni lazima kama unataka kuunda AI yako au kuiboresha. Ila kama unataka kutest data / inputs kupitia AI libraries walizotengeneza wengine hapo maana yake wewe ni end-user wa AI so programming hata basic kwako inatosha.
Tena naweza kusema kwenye kutengeneza AI ndiko ambako programming languages zinatumika zaidi very seriously.
Nimeona jinsi gani nilivyostruggle kutengeneza game dogo tu ambalo linacheza bao vs binadamu na bado halijaboreka, linahitaji too deep search ambayo implementation yake ni ngumu.
Wapuuzi mko wengi humu, wewe nafikiri ni wale programmers wabongo wavivu na hawajui chochote au makende ya bibi yako...potezea tuuWe ni mpumbavu kuliko mapumbu ya mbwa 😁
Soon programing zote zitafanywa kwa kutumia natural languages, hizo programing languages tunazotumia sasa kama python, js etc soon will be dead, najua mtabisha ila time will tellProgramming ni lazima kama unataka kuunda AI yako au kuiboresha. Ila kama unataka kutest data / inputs kupitia AI libraries walizotengeneza wengine hapo maana yake wewe ni end-user wa AI so programming hata basic kwako inatosha.
Tena naweza kusema kwenye kutengeneza AI ndiko ambako programming languages zinatumika zaidi very seriously.
Nimeona jinsi gani nilivyostruggle kutengeneza game dogo tu ambalo linacheza bao vs binadamu na bado halijaboreka, linahitaji too deep search ambayo implementation yake ni ngumu.
Sawa, AI tayari zinaweza andika piece of codes kumsaidia binadamu kukamilisha project lakini AI kama AI haiwezi chukua nafasi ya binadamu fully katika programming.Soon programing zote zitafanywa kwa kutumia natural languages, hizo programing languages tunazotumia sasa kama python, js etc soon will be dead, najua mtabisha ila time will tell
Nilisoma mahala ktk mtandao wa Quora waliandika kwamva waliobuniAA hawakuwahi andika hata single line of code.Tofauti ya AI na programming ni ndogo sana matter of fact programming ndo career pekee inayokuwa kwa kasi ya 7g
Hio ML au AI ni mwendelezo tu wa Programming kwani bila Programming hivo vitu visingakuwepo mkuuu 😁
Subiri, ni swala la muda tuu, hata sasa AI inaweza kutengeneza simple applications ingawaje sio perfect lakini can be useful, kama machine inaweza kutengeneza picha kwa text command sioni kwanini ishindwe kuandika applications, mid journey inafanya vitu crazy ambavyo 2 years ago hakuna mtu alikuwa anaamini kama inawezekana, machines are taking over huo ndio ukweliSawa, AI tayari zinaweza andika piece of codes kumsaidia binadamu kukamilisha project lakini AI kama AI haiwezi chukua nafasi ya binadamu fully katika programming.
Hata hizo codes sometimes inatakiwa uzikague kwa sababu AI haiwezi jua mawazo yako yote katika project.
Usitake kuniambia kwamba AI inaweza tengeneza game kama la FIFA fully bila binadamu kuhusisha uwezo wake aliokuwa nao katika programming.
wakati Google Translator inatoka, 2006 , ambayo iko na AI-powered features, tulitegemea zile kazi za translations zinazofanywa na binadamu zingekufaSubiri, ni swala la muda tuu, hata sasa AI inaweza kutengeneza simple applications ingawaje sio perfect lakini can be useful, kama machine inaweza kutengeneza picha kwa text command sioni kwanini ishindwe kuandika applications, mid journey inafanya vitu crazy ambavyo 2 years ago hakuna mtu alikuwa anaamini kama inawezekana, machines are taking over huo ndio ukweli
Tulia wewe, kama umetumia gpt4 utaelewa soon or later natural language ndio itakuwa new programming language, nafikiri uliona ile demo from sketch to full functional website wakati wanafungua GPT 4, kazi zangu nyingi hapa nilizokuwa natumia a week kumaliza sasa 20 minutes ni nyingi sana, tupo gpt4, imagine GPT 10...maisha yamebadilika ila inaonekana huko mmelala badowakati Google Translator inatoka, 2006 , ambayo iko na AI-powered features, tulitegemea zile kazi za translations zinazofanywa na binadamu zingekufa
lakini imekua kinyume chake, AI haiwezi replace binadamu hasa kwenye coding/programming
baadhi ya forums kubwa StackOverflow, Arduino zimeanza lamba permanent IP bans kwa member yeyote anayetumia izo AI applets kujibu au kugenerate maswali
siwezitumia, AI is for mere foolskama umetumia gpt4
Wewe ndio wale programmer wa bongo? kwa attitude hiyo ndio maana bongo hakuna hata local software company moja au ni ubabaishaji mtupu, unashangaa kila chuo kina computer science course lakini software industry ni zero, mnasoma nini nyie?siwezitumia, AI is for mere fools
Hawata kuelewaWewe ndio wale programmer wa bongo? kwa attitude hiyo ndio maana bongo hakuna hata local software company moja au ni ubabaishaji mtupu, unashangaa kila chuo kina computer science course lakini software industry ni zero, mnasoma nini nyie?
Movies tofauti na program bro.Subiri, ni swala la muda tuu, hata sasa AI inaweza kutengeneza simple applications ingawaje sio perfect lakini can be useful, kama machine inaweza kutengeneza picha kwa text command sioni kwanini ishindwe kuandika applications, mid journey inafanya vitu crazy ambavyo 2 years ago hakuna mtu alikuwa anaamini kama inawezekana, machines are taking over huo ndio ukweli
Bado umelala usingizi mzito sana, kama wewe ni software Engineer unayeishi kwa kuandika code, debug , explain etc anza kutafuta kitu kingine cha kufanyawakati Google Translator inatoka, 2006 , ambayo iko na AI-powered features, tulitegemea zile kazi za translations zinazofanywa na binadamu zingekufa
lakini imekua kinyume chake, AI haiwezi replace binadamu hasa kwenye coding/programming
baadhi ya forums kubwa StackOverflow, Arduino zimeanza lamba permanent IP bans kwa member yeyote anayetumia izo AI applets kujibu au kugenerate maswali
Gpt 10 itatoka kwenye mwaka 2067 swali utakuwepo?Tulia wewe, kama umetumia gpt4 utaelewa soon or later natural language ndio itakuwa new programming language, nafikiri uliona ile demo from sketch to full functional website wakati wanafungua GPT 4, kazi zangu nyingi hapa nilizokuwa natumia a week kumaliza sasa 20 minutes ni nyingi sana, tupo gpt4, imagine GPT 10...maisha yamebadilika ila inaonekana huko mmelala bado