Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Wewe jamaa hujui chochote. Taja project yoyote uliyoifanya.Nina uhakika najua kuliko wewe , rudini kwenye original post mmeshauriwa mtengenze game za kindergaten labda ndio mnachoweza, sijui hata kama hapo bongo mna any ai course
Upo Github nikupe access ?Wewe jamaa hujui chochote. Taja project yoyote uliyoifanya.
Kazi ya kutengeneza Al haijawai kukamilishwa na mtu mmoja hata wewe uwe Al engineer hiyo kazi uwezi, hata kutengeneza information systems nzuri na bora inategemea Team ya watu wenye skills mbalimbali.Hunijui boss, kasome programming then jiite AI engineer
Mzee hapa unaongea na magwiji. Leta mambo hapa. Unatumia language gani?Upo Github nikupe access ?
Sorry mtanijua and i prefer to stay anonymousMzee hapa unaongea na magwiji. Leta mambo hapa. Unatumia language gani?
Unatumia language gani?Sorry mtanijua and i prefer to stay anonymous
Python and JS are my favoritesUnatumia language gani?
Umeanza mwaka gani programming.Python and JS are my favorites
10+Umeanza mwaka gani programming.
Aina gani ya programming umewahi kufanya?
Unaonekana bado uko shule, nakushauri usiishie kwenye shit programming za kusoma libraries and frameworks, kasome ML and AI zina futureAina gani ya programming umewahi kufanya?
1. Data Programming
2. Network programming
3. Graphics programming
4. System programming
Umesema umewahi kufanya programming.Unaonekana bado uko shule, nakushauri usiishie kwenye shit programming za kusoma libraries and frameworks, kasome ML and AI zina future
1.Muulize kasha fanya projects gani na zilitumia programming languages gani ?Umesema umewahi kufanya programming.
Aina gani ya programming umewahi kufanya?
1. Data Programming
2. Network programming
3. Graphics programming
4. System programming
No need to test meUmesema umewahi kufanya programming.
Aina gani ya programming umewahi kufanya?
1. Data Programming
2. Network programming
3. Graphics programming
4. System programming
Maswali ya kitoto hayo uliza hardcore programming nitakujibu1.Muulize kasha fanya projects gani na zilitumia programming languages gani ?
2.Projects hizo zilikuwa zina solve problem gani ?
3. Je zipo hosted au zinatumika ?
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Umekuja hapa unatoa ushauri. Sasa tunataka kujua uwezo wako mpaka umefikia kiwango cha kuiponda programming.No need to test me
Utaulizwaje hardcore wakati simple hujajibu?Maswali ya kitoto hayo uliza hardcore programming nitakujibu
Boss ungekuwa unajua tofauti ya trained system vs programmed system wala tusingebishana humu lakini mnaonekana hamtaki kujifunzaUtaulizwaje hardcore wakati softcore hujajibu?