Njia ya haraka ya kupunguza mafuta mwilini

Hili ni somo la kutengeneza sumu au kemikali?
 
Fanya mazoezi alaf kila asubuhi badala ya chai weka kijiko kimoja cha mdalasini na asali
 
Asante sana ndugu yangu katika jf
 
Upon sawa kaka, asante
 
Ukiweza kutokula usiku na kupunguza vyakula vyenye mafuta pamoja na maji ya vuguvugu yenye limao kila asbh na usiku kabla hujalala,utakuwa umewin
 
Kama unaweza kunywa juisi ya limao asubuhi iwe yamoto kiasi, baada ya nusu saa unaweza pata breakfast.. Waweza kula matunda na mboga mboga continously for 1 month unapungua hata zaidi ya kilo 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…