Njia ya haraka ya kupunguza mafuta mwilini

Njia ya haraka ya kupunguza mafuta mwilini

Alikuwa anafanya diet , akawa anakunywa hiyo juice ya limau ndiyo hivo tena anaumwa hatari sasa hivi, japo tatizo bado halijulikani
Duu pole,, au pia alikua anajinyima sana ? Mana wengine diet ndo anashinda njaa kbsaaa.
 
Usiku kabla huja lala chukua tangawizi 1kubwa isage giliglani fungu moja ama moja na nusu saga kwenye blend limao 1huo mchanganyiko unatakiwa upate glas moja asubuhi kabla hujala chochote mdalasini kijiko cha chakula asali mbichi kijiko kimoja cha chakula veneg acid vijiko viwili limao vijiko 2maji ya uvuguvugu na yenyewe upate glas 1ila mdalasi unatakiwa maji ya moto yakishapoa ndiyo unachanganya hivyo vingine

KHA SASA HII NDO KUNYA MOTO JAMBA CHECHE
 
Jamani naona tunaweza kuuana bure humu jamvini maana hizo acid zote ndani ya tumbo tupu. Mbona ni kazi kweli kweli.
naona anataka mtu atengeneze cyanide sasa daah si kwa mchanganyiko huo, duu
 
Back
Top Bottom