Njia ya Jangwani imefungwa kuanzia saa 11:45 leo asubuhi kutokana na mafuriko

Badala ya kujenga barabara ya gharama baharini isiyo msaidia mkazi na mpiga kura. Wangetengeneza Jangwani kwanza. Lkn ccm inatakataka kwenye masikio na tongotongo machoni
Yani katika kitu niliona viongozi wetu hawana huruma kwa watu wa chini ni ujenzi wa hilo daraja.
 
Especially wapiga kura.
Ndio. Hilo daraja lina wabenefit wanaoishia masaki hapo. Mtu wa tegeta anafaidika nini badala watanue barabara nje ya mji wao wanatengeneza mjini
 

Ina maana Salender bridge ipo juu kuliko barabara jangwani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…