Njia ya Jangwani imefungwa kuanzia saa 11:45 leo asubuhi kutokana na mafuriko

Njia ya Jangwani imefungwa kuanzia saa 11:45 leo asubuhi kutokana na mafuriko

Badala ya kujenga barabara ya gharama baharini isiyo msaidia mkazi na mpiga kura. Wangetengeneza Jangwani kwanza. Lkn ccm inatakataka kwenye masikio na tongotongo machoni
Yani katika kitu niliona viongozi wetu hawana huruma kwa watu wa chini ni ujenzi wa hilo daraja.
 
Njia ya Jangwani imefungwa kuanzia saa 11:45 leo asubuhi kutokana na mafuriko kwa mvua inayoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaam. Hivyo, tunawashauri wasafiri wetu kutumia usafiri mbadala ikiwemo daladala mpaka Morocco kwa wale wanaotokea Posta kwenda Kimara.

Wakifika Morocco wanaweza kuendelea na usafiri wa DART mpaka Kimara na sehemu nyingine za Jiji. Kwa wasafiri wanaoelekea Posta kutoka Kimara, tunawashauri kuchukua mabasi ya DART mpaka Morocco ambapo wanaweza kuchukua usafiri mbadala ikiwemo daladala mpaka Posta, Kariakooo.

DART

Ina maana Salender bridge ipo juu kuliko barabara jangwani!!
 
Back
Top Bottom