Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado


Wazungu ni watu mimi ningekuwa kiongozi rais ningepeleka ugaidi nyumbani kwao

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hao wajinga wa vijijini siumewaona akilizao zipo kwenye dini kazi kweli.
 
Aisee si uamke utakojoa kitandani weweeee😆😆😆😆😆😆
 
Weee stivu jamani natamani ingekuwa movie ni download telegram nasubiri kwa hamu kubwa
 
Hawa magaidi wanatokea Kenya, wakapita Kibiti na inasemekana chimbuko ni wafuasi wa Abdul Rogo.

Baada ya Rogo kuuwawa jamaa ndipo wakaanza kujipanga na kujitanua hadi kuingia Kibiti.

Private Military Companies zilizomwagwa Mozambique si mchezo. Ukianza na Wagner kuna DAG South Africa, kuna Paramount Group South Africa hawa wana vifaa na silaha za anga kuanzia ndege, drones n.k, Kuna FSG hawa ni waChina.
Kuna nchi zilitoa Commandos toka Europe, Wagner walikuja askari 200, US walileta Green Berets hao ni Special Force, England walitoa askari n.k hapo bado South Africa wamepeleka askari zaidi ya 1000, Rwanda, Tanzania, Mozambique, Zimbabwe n.k list ni ndefu.

Cha kushangaza magaidi bado wamo tu.
Haya makundi yana wafadhili tena mabeberu, haiwezekani force kubwa kiasi hiko ila jamaa bado wapo kwa miaka 6 na zaidi wanasumbua tu.

Utajiri wa gas uliogundilika Mozambiqy ndio chanzo cha vita hii. Inasemekana Mozambique ingeweza kuwa exporter mkubwa wa gas duniani kiasi kwamba anaweza i challenge Russia kwenye soko la Europe.
Si mchezo.
 
Una uhakika walikuwa Mkiru?
Hiyo mkiru ina ukubwa kiasi gani, idadi kubwa ya magaidi hao waliwezaje kupenya na kuchomoka kutoka Rufiji hadi Msumbiji bila kuacha Traces wala kukamatwa?

Ukiacha mhemko utanielewa maswali yangu.
Hivi hizi lugha za kebehi huwa zinakusaidiaje au una lengo la kuamsha malumbano ya maneno kuharibu Uzi wa mleta mada!?.
 
Dini ya laana na uzao wa kizazi kilicholaaniwa. Amani yao na furaha ni damu za watu.Mungu awatie upofu magaidi wote.
Tatizo ni kujitoa ufahamu. Ukitoa jina linalohusishwa na uislamu, hao magaidi muunganiko wa wtz, wakenya, Rwandan n wengi hao ni wamakonde. Sio waarabu. Juu ya yote, hiki kikundi kinaaminika kufadhiliwa na mabepari, sio waarabu.
Watu wenye fikra kama zako ndio wanaotumiwa kuunda hizo militia groups. Vitu vingine ni very obvious, umeshaanza kuleta mtafaruku humu ndani. Muda mungine muwe mkifikiria kama hamjafanya utafiti kabla hamjaropokwa kashfa nzitooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…