Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Vipi muendelezo bado?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao kwenye bold una uhakika walikuja kupambana na magadidi au walikuja kuwapa mbinu na silaha!Hawa magaidi wanatokea Kenya, wakapita Kibiti na inasemekana chimbuko ni wafuasi wa Abdul Rogo.
Baada ya Rogo kuuwawa jamaa ndipo wakaanza kujipanga na kujitanua hadi kuingia Kibiti.
Private Military Companies zilizomwagwa Mozambique si mchezo. Ukianza na Wagner kuna DAG South Africa, kuna Paramount Group South Africa hawa wana vifaa na silaha za anga kuanzia ndege, drones n.k, Kuna FSG hawa ni waChina.
Kuna nchi zilitoa Commandos toka Europe, Wagner walikuja askari 200, US walileta Green Berets hao ni Special Force, England walitoa askari n.k hapo bado South Africa wamepeleka askari zaidi ya 1000, Rwanda, Tanzania, Mozambique, Zimbabwe n.k list ni ndefu.
Cha kushangaza magaidi bado wamo tu.
Haya makundi yana wafadhili tena mabeberu, haiwezekani force kubwa kiasi hiko ila jamaa bado wapo kwa miaka 6 na zaidi wanasumbua tu.
Utajiri wa gas uliogundilika Mozambiqy ndio chanzo cha vita hii. Inasemekana Mozambique ingeweza kuwa exporter mkubwa wa gas duniani kiasi kwamba anaweza i challenge Russia kwenye soko la Europe.
Si mchezo.
Hao DAG wa south Africa na wao ni Private Military Company (PMC).Hao kwenye bold una uhakika walikuja kupambana na magadidi au walikuja kuwapa mbinu na silaha!
Waislam haoHawa watu ni wasumbufu sana. Vurugu na mauaji ndiyo starehe yao.
Rudi kwenye comment yangu. PMC na DAG sikuwaongelea. Niliwabold wale waliotoka mareka ni na UK eti kwamba walienda kusaidia kutokomeza magaidi.Hao DAG wa south Africa na wao ni Private Military Company (PMC).
Mwaka 2020 June 27 hadi 29 yalitokea mapigano makali kati ya Jeshi la Msumbiji wakisaidiwa na hao DAG, magaidi waliteka na kuua katika mji wa Mocimboa da Praia uliopo jimbo la Cabo Delgado.
Wagner walipokuja na kusema jeshi la Msumbiji nidhamu hakuna na hawajajipanga walikuwa hawajakosea.
Magaidi waliwazidi nguvu Jeshi la Msumbiji, June 27 magaidi walitembeza kichapo heavy ambapo askari wa Msumbiji walianza kutoroka wengine wakijichanganya na raia, hali imekuwa ngumu ilifikia kipindi askari jeshi wanavua gwanda na kujichanganya na raia, Magaidi walikosa upinzani.
Baadhi ya askari walikimbilia majengo ya bank lakini walimalizwa na kundi hilo.
Ndipo hao DAG wakaingia mzigoni wakiwa na helicopters 3 angani na kuanza msako, mashambulizi yalikuwa yanatokea angani, kazi ilikuwa ni kutofautisha raia na magaidi.
Kuna kipindi magaidi walijichanganya na raia kitu kilichopelelea helicopters za DAG kushambulia kundi na kupelekea wananchi wengi kufa.
Baada ya moto kuwa mkali ilibidi hao jihadists wakimbilie hospital kudhani moto kutoka angani ungewaacha, lakini DAG walipeleka moto huko huko hospital kupelekea wagonjwa na wananchi kufariki, helicopter 3 zinazunguka mji, jamaa walimwaga moto mwingi sana huku jeshi Msumbiji wakifanya operation ndogo ardhini.
Inasemekana DAG walipeleka moto hadi Al Shabaab kwa jina lingine wanojulikana wakaamua muingia maporini , lakini moto huakuwaacha nyuma wakafuatwa huko jamaa wakapeleka moto, huko msituni kulikuwa na raia wamekimbia na Al Shabaab wapo humo na mateka, kuna imaam mmoja aliyekuwa mateka chini ya Al Shabaab alifariki msituni.
Mji ulikuwa hautamaniki ni kama Gaza, baadhi ya wakazi walikimbia kuelekea visiwa vya karibu kwa kutumia boat huku wengine wakikimbilia vijiji vya karibu kuponya uhai.
Wanakijiji walipokuja kurudi Macimboa ilikuwa ni maiti zimetapakaa mji mzima.
Kwa moto DAG waliupeleka, ilipelekea Amnesty International kuingilia kati kwamba DAG wamefanya uhalifu wa kivita kwa kuua raia wasiokuwa na hatia huku DAG wakisema si si kweli wao walikuwa wakilenga magaidi walipo.
Jeshi la serikali ya Msumbiji pia ilisemekana kufanya uhalifu kabla ya Al Shabaab hao kufika kwenye huo mji wa Mocimboa, ilisemekana walitesa wananchi, kuua na ubakaji kitu kilichopelelea baadhi ya wananchi kujiunga na Al Shabaab hao hivyo kupelekea kuwazidi nguvu Jeshi la Msumbiji kwenye hio battle ya June 27.
Baadae Jihadists hao walikuja tena kuuchukua huo mji wa Mocimboa da Praia mwezi august mwaka huo huo wakikizidi jeshi la Msumbiji nguvu.
Hapa DAG hawakuingilia kati kutokana na kile kilichokua ni mashtaka kutoka Amnesty International.
Sasa hapo ndipo unielezee hao DAG ambao ni moja ya PMCs walienda kufanya nini..
Pale wanaenda kupambana na kutoa mafunzo. usifikiri wanakwenda kutoa mafunzo pekee.
Nikitafalari haya mashirika kama Amnesty yapo kutimiza maslahi ya wakubwa. Hio kazi wangeachiwa DAG kwa huo moto wao, Hao w@$3ng3 wangeshasambaa.
Mkuu siraha kubwa ya ugaidi ni media...
Magaidi ukiwapa uwanja wa habari zao kutoka, hutowamaliza ng'o...hasa hao waliokua hawataki kujulikana(MKIRU)...
Lengo lao ni kutia hofu kwenye jamii...
Stori ya Azory Gwanda naamini tukichimba na kuuangalia ugaidi kwa mapana yake tutaujua ukweli halisi.
Inasemekana Azory alikamatwa na watu wasiojulikana.Mkuu siraha kubwa ya ugaidi ni media...
Magaidi ukiwapa uwanja wa habari zao kutoka, hutowamaliza ng'o...hasa hao waliokua
Aisee! Ukichukua eneo la Tz ni roughly sq.Km 947,403 na ukigawanya kwa hiyo 62ml utakuta kila mtanzania (ukiacha watoto-mimba ambao hawakuhesabiwa ktk hiyo 62ml) kila mmoja atapata kilometa za mraba 1.5 -Hilo ni eneo kubwa sana kwa mtu mmoja.Huwezi kulizunguka kwa kutembea kwa miguu!Tulia bwanamdogo, now tupo 62ml, hivyo tunahitaji Ardhi ya kutosha.. 😋😋
Rudi kwenye comment yako mwenyewe kama huja bold wagner.Rudi kwenye comment yangu. PMC na DAG sikuwaongelea. Niliwabold wale waliotoka mareka ni na UK eti kwamba walienda kusaidia kutokomeza magaidi.
Ok! basi nitakuwa nilibold kimakosa. sijakusudia ingawa muzungu nu muzunbu tu, lakini kwa vile Wazungu wa Magharibi hawaelewani na hao wa mashariki.Rudi kwenye comment yako mwenyewe kama huja bold wagner.
Majibu mengine tafuta google mkuu.
Mkuu siraha kubwa ya ugaidi ni media...
Magaidi ukiwapa uwanja wa habari zao kutoka, hutowamaliza ng'o...hasa hao waliokua hawataki kujulikana(MKIRU)...
Lengo lao ni kutia hofu kwenye jamii...
Stori ya Azory Gwanda naamini tukichimba na kuuangalia ugaidi kwa mapana yake tutaujua ukweli halisi.
Vita kuu ya kuuchafua Uislamu duniani ni DISINFORMATION.Hakuna cha ugaidi wala nini nchi hii sema alikuwa na chuki tu kama makafiri wengine wote dhidi ya Waislamu na ndiyo walioenda kuuliwa na wale wengine wachache waliohoji juu ya mauaji hao wakapotezwa.
Tatizo la nchi la nchi yetu ni ubaguzi wa kidini tu hakuna cha ugaidi wala nini,kuna msemo unasema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.
Mbona siku zote wanamtaja Allah au Mudi badala ya Jesus ?Dunia ina matrix sana , vikundi hivyo huwezi kuvikuta saudia , Qatar ,oman...Huyu Raisi wa Iran aliyekufa ndio aliwamaliza hao mamluki wa kutumia propaganda za kidni baadae aliwanyonga ndio wakamuita ''The butcher"
Watu hawa wanapewa pesa kukamilisha malengo ya wazungu , jiulize silaha wanatoa wapi ? Mzalishaji mkubwa wa silaha ni USA...Mtandao huo sawa na madawa ya kulevya kama ingekuwa uislamu unahusika nina hakika watu wengi wangekimbia hiyo dini ..Ni dini inaypokea watu wengi baada ya watu kuelewa kila mwk , ndio dini inakuwa kwa kasi.
Wale waliokamatwa pale Urusi juzi tu walisem islamic state ndio wanahusika , Putin akasema atafuatilia ili mwisho wa siku ni uongo , watu wanakuwa recruited na kulipwa kutokana na kutka utajiri na pesa ... Hakuna muislamu anaweza kuchoma na kuua watu kwa vile hukumu yake huko nchi za kiislamu ni kuuliwa tu , sasa iweje hawa wanaua ?
Wakina mollel sawa na kabenderaVita kuu ya kuuchafua Uislamu duniani ni DISINFORMATION.
Mwandishi wa makala hii analipa huu upupu alioumwaga. Hajaanza leo. Na analipwa na watendaji wa wasio waaminifu, wavuta bangi.
Ndio maana nimeuuliza mwanzoni tu.
Huu ujumbe wa makala unaolenga kuufungamanisha uislam na ugaidi.
Je, HIVI MAGAIDI WENYEWE NDIO WANAOJIFUNGAMANISHA NA UISLAM au WAANDISHI NDIO WANAOFUNGAMANISHA UGAIDI NA UISLAM?
Tuseme nchi hii kuna ugaidi wa kutengenezwa. False Flag Terror.
Tatizo la nchi la nchi yetu ni ubaguzi wa kidini tu hakuna cha ugaidi wa Waislam na Uislam.
......ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.
Link hapa chini ni waraka wa waislam kwa serikali ukiitahadharisha serikali iache kuwalea waandishi wote wa kikundi hichi kinachofadhiliwa kuuchafua uislam.
Kama serikali haina mkono wake tunahitaji wamtafute azori ili atueleze ukweli wa mambo
Mudi jau sanaReligion brainwashing ni kitu kibaya sana. Mungu awasaidie wenzetu. Wao kuua ni ibada na ndio maana wanalilia kuchinja wanyama huku Tanzania huku wakitaja na kumsifu Mungu wao. Ai kufuru au kashfu dini ya Mtu ila katika mistake Mungu aliyofanya duniani ni kuacha Muhammad azaliwe. Ile ya kutomuua Lucifer na kumtupa duniani ni bora kuliko kumuacha Muddy azaliwe. Dunia ingekuwa salama bila tukio la miaka 600+ baada ya Kristo.
Ndio maana nakuambia usome lugh kibao ujue hizo , Video za X wanataka jesus au God kwa lugha yao, unataka kusema wale wanapractise ukristo , wakina john sins wote hao tena na misalaba juu wanvaa .Mbona siku zote wanamtaja Allah au Mudi badala ya Jesus ?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Muslim brotherhood ni Kundi la kiislamNdio maana nakuambia usome lugh kibao ujue hizo , Video za X wanataka jesus au God kwa lugha yao, unataka kusema wale wanapractise ukristo , wakina john sins wote hao tena na misalaba juu wanvaa .
Akili yako bado , tatizo elimu ya kuelewa maana .
Hayo makundi ymeunda na nn? Mbona nchi za kiislamu hayapo ? hayo yote yameunda na Mossad na mshirika wake Marekani kwa kupewa pesa .Muslim brotherhood ni Kundi la kiislam
Al Qaida ni Kundi la kiislam
Ansar Sunar ni Kundi la kiislam
Mujahideen ni Kundi la kiislam
Alshabab ni Kundi la kiislam
Hezbollah ni Kundi la kiislam
Hamas ni Kundi la kiislam
Makundi yote hayo ni ya Kigaidi mbona huwa hayamtaji Yesu kama tatizo siyo uislam
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobil
Muslim brotherhood ni Kundi la kiislam
Al Qaida ni Kundi la kiislam
Ansar Sunar ni Kundi la kiislam
Mujahideen ni Kundi la kiislam
Alshabab ni Kundi la kiislam
Hezbollah ni Kundi la kiislam
Hamas ni Kundi la kiislam
Makundi yote hayo ni ya Kigaidi mbona huwa hayamtaji Yesu kama tatizo siyo uislam
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yameundwa na Waislam.Hayo makundi ymeunda na nn? Mbona nchi za kiislamu hayapo ? hayo yote yameunda na Mossad na mshirika wake Marekani kwa kupewa pesa .
Hamas imeanzishwa na Isreal ndio maana palestina kuna serikali mbili , Hayo kabla ya vita ya dunia hayakuwepo mpaka USA alipojifnya superpower ndio kayaanzisha yeye .
Nipe stori na ni makundi yemeanza juzi tu hapa baada ya shambulio ya Marekani 😀 😀 😀Yameundwa na Waislam.
Hezbollah makao makuu ni Lebanon nchi ya kiislam
Al Qaidar makao makuu ni Qatar nchi ya kiislam
Mujahideen makao makuu ni Iraq nchi ya kiislam
Hamas makao makuu Palestina nchi ya kiislam
Muslim Brotherhood makao makuu Egypt nchi ya kiislam.
Alshabab makao makuu Somalia nchi ya kiislam.
ISIS makao makuu ni Syria na Yemen nchi za kiislam
Boko Haram makao makuu Nigeria Jimbo la Waislam.
Mbona hayapo nchi za wakrsto au unataka kusema Waislam ni wajinga sana kukubali makundi ya wàkristo yakae kwao kuchafua uislam wao?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app