Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
Ni kweli silaha kuu ni media kupitia DisimformationMkuu siraha kubwa ya ugaidi ni media...
Magaidi ukiwapa uwanja wa habari zao kutoka, hutowamaliza ng'o...hasa hao waliokua hawataki kujulikana(MKIRU)...
Lengo lao ni kutia hofu kwenye jamii...
Stori ya Azory Gwanda naamini tukichimba na kuuangalia ugaidi kwa mapana yake tutaujua ukweli halisi.
Na huu ni mkakati maalum ambao unaratibiwa na baadhi ya watenda wavuta mangi.