Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We nae tutolee huu ujinga wako na mapovu Kila comment bwana.
Kila siku mnakuja na jambo hilo hilo la uislamu unachafuliwa. Kwa kitu kipi cha maana mlichonacho hadi dini yenu ichafuliwe?
Ni swala la kuamini (Imani )tu? Yani mtu akibadili dini na kuwa muislamu,hiyo itaniathiri vipi Mimi nisiye muislamu?
Mfano Mimi nimekaa Zanzibar ambako Kuna uislamu zaidi ya 90% ,hiyo Ina athari Gani kwangu nisiye muislamu? Mbona maisha yanaenda vile vile ?
Huu udwanzi wa kulalamika "uislamu unachafuliwa " mnatuchosha. Huo uislamu una nini cha maana hadi upigwe vita enyi wanafiki?
hapo ndio ngachoka na wazungu. ina maana wanashindwa kuyachukua mafuta 'yao' bila kuua tumbili wenzetu?Hawa magaidi wanatokea Kenya, wakapita Kibiti na inasemekana chimbuko ni wafuasi wa Abdul Rogo.
Baada ya Rogo kuuwawa jamaa ndipo wakaanza kujipanga na kujitanua hadi kuingia Kibiti.
Private Military Companies zilizomwagwa Mozambique si mchezo. Ukianza na Wagner kuna DAG South Africa, kuna Paramount Group South Africa hawa wana vifaa na silaha za anga kuanzia ndege, drones n.k, Kuna FSG hawa ni waChina.
Kuna nchi zilitoa Commandos toka Europe, Wagner walikuja askari 200, US walileta Green Berets hao ni Special Force, England walitoa askari n.k hapo bado South Africa wamepeleka askari zaidi ya 1000, Rwanda, Tanzania, Mozambique, Zimbabwe n.k list ni ndefu.
Cha kushangaza magaidi bado wamo tu.
Haya makundi yana wafadhili tena mabeberu, haiwezekani force kubwa kiasi hiko ila jamaa bado wapo kwa miaka 6 na zaidi wanasumbua tu.
Utajiri wa gas uliogundilika Mozambiqy ndio chanzo cha vita hii. Inasemekana Mozambique ingeweza kuwa exporter mkubwa wa gas duniani kiasi kwamba anaweza i challenge Russia kwenye soko la Europe.
Si mchezo.
Acha kuwa mpumbavu tangu lini serikali inashambulia watu ? serikali ilikuwa na uwezo wa kumfikisha mahakamai wakati Rogo kashambuliwa .
View: https://youtu.be/go3z4EPz_Bc?si=6ybIdWvlRRSZqaVT
Minyoo ya Nguruwe inakuharibu kichwani hata kufikiria hujui.
Bila ya mchongo wa vyeti fake hauna jipya , kumbe hata hujui unaongela , basi kashambuliwa kama Tundu Lissu .
Kwa hamu tenaTungoje sehemu ya pili.
Kiongoz sio waislamu wote ndy wanafikra hzo pia jiulize wanatoa wapi silaha mzito za kushindan na majeshi ya serikali?Tutafanyaje wakati hayo matendo kwa wengine ni njia ya kuiona pepo?
Bila hivyo wanaamini kwao hakuna kuiona pepo,na ktk situation kama hii ni rahisi sana watu kupaza sauti kwamba wanaonewa na kuchafuliwa kwa kufanya ibada zao tukichukulia nchi yetu tunaamini hakuna upendeleo wa kidini.
Wewe akili huna al qaid imekuwepo kabla ya 9/11 haufatilii au unapotosha makusudiNdio tatizo lako elimu kumbe , hapo makundi yameanza baada ya shambulio la mwaka 2001 kule Marekani . Je,unajua kwa nn?
Mpakwa mafuta acha ujinga ! Kwa hiyo serikali inashambulia watu wakati wao ndio dola kubwa katika nchi , hata wakitaka kumnyonga wanamkamata mda wowote , huyu Rogo alikuwa anashambuliana na majeshi au kapigwa kwa kushtukiza?Huko Misikitini huwa akili zenu zinafanywaje mkishainamisha vile vichwa na kunyanyua matako juu. Mbona issue rahisi kabisa kuielewa lazima muifanye iwe ngumu? nani asiyejua mafundisho ya Rogo yalikuwa ya kueneza chuki baina ya raia? Kwani ni lazima haini afikishwe mahakamani? Nini kazi ya intelejinsia kama ni watu wa hovyo lazima waende mahakamani.
Sasa ndio umeandika nn hapo ? Soma hayo makundi kwanza yalitokana na wapi usiwe kolo !Wewe akili huna al qaid imekuwepo kabla ya 9/11 haufatilii au unapotosha makusudi
Hayo mauawaji hayauhusu Uislam, hivyo ni vikundi vya kijambazi vinavyopachiwa majina ya Kiislam ili ionekane ni Waislam. Si kila Omari ni Muislam.Akina FaizaFoxy na THE BIG SHOW wanaamini kuwa wakifanyamauaji ndio shetani wao (allah) anafurahia
Ajinga watakuja kusema waislam ndio wanaoendesha vurugu huko,kumbe watu wapo kwenye malipo makubwa ya fedha,ukweli mchungu mtu mweupe hatari sanaThanks for this.
Kinachoendelea Msumbiji ni part and parcel ya ile project inaitwa FRENCH AFRICA.
Congo Brazzaville wamekuwa kwenye hii project miaka mingi sana kupitia Pascal Lissuba na Dennis Sassungwesso, Gabon wamekuwa kwenye hii project miaka mingi kupitia Marehemu Omar Bongo na Mwanaye.
Msumbiji wameingia rasmi kwenye hii project na hii laana ilianzia pale Total alipoinunua Anadarko, Gas itachimbwa pale na amani Msumbiji na kusini mwa Tanzania itakuwa ni tatizo kwa miaka mingi.
Magaidi wako kwenye payroll ya mfaransa na lengo ni kudestabilize eneo na kuingia contracts za ulinzi ambayo hela yake itatoka kwenye mikataba ya gas na matokeo yake Msumbiji watakosa Kila kitu kwa sababu yakusaidiwa kwenye ulinzi.
Kidogo kidogo, hodi hodi Tanzania, umakini usipoweka na watu wasipoacha ujinga wakuendekeza siasa ile kusini inaweza ikawa haitawaliki.
Upumbavu, ujinga na Tamaa za viongozi wa Africa leo hii umeifikisha hapa Africa.
Africa Moja kupitia AU yenye nguvu ndio ingeweza kusimamisha haya.
Note: Eneo like la Msumbiji na eneo la kusini la Tanzania kuna reserve kubwa sana ya gas.
Tusisahau moja ya chanzo cha ukoloni ni industrial revolution huko ULAYA na AMERICA.
Haya mambo ni hatari sana serikali ielekeze nguvu zaidi kwenye ulinzi wa mipaka yetuKibiti mpaka laana ya Cabo Delgado: Part II
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021. Alipohojiwa, alisema kauli hii; "Mungu, wasaidie watu wale." Akimaanisha watu wa Msumbiji...www.jamiiforums.com
Mwanzo wa hayo makundi unajulikana sheikh na wewe unajua sana ila unapotosha kwa makusudi kwa ajili ya ile ahadi ya mabikira 72Sasa ndio umeandika nn hapo ? Soma hayo makundi kwanza yalitokana na wapi usiwe kolo !
Sasa wewe una ahadi ya wake 100 , wazazi 100 , watoto 100 ili ukubali kuwa mpakwa mafuta 😀 😀Mwanzo wa hayo makundi unajulikana sheikh na wewe unajua sana ila unapotosha kwa makusudi kwa ajili ya ile ahadi ya mabikira 72
Kwahiyo na wale mashehe wanaochochea mauaji kama yule mpuuzi ponda sio mwislamu?Hayo mauawaji hayauhusu Uislam, hivyo ni vikundi vya kijambazi vinavyopachiwa majina ya Kiislam ili ionekane ni Waislam. Si kila Omari ni Muislam.
Uislam ni amani.
Kumbuka hayo.
Sijawahi kumsikia Ponda akichochea mauwaji ya yeyote yule;.Kwahiyo na wale mashehe wanaochochea mauaji kama yule mpuuzi ponda sio mwislamu?
Fungua fuvu hilo upate kujua ya duniaDini ya laana na uzao wa kizazi kilicholaaniwa. Amani yao na furaha ni damu za watu.Mungu awatie upofu magaidi wote.