Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Kama umepambana na una Mali nyingi usioe.
Tafuta mwanamke uwe nae kama mpenzi tu.
Jenga nyumba Sehemu na umueleze huyo mwanamke kua umempangishia.
Umiliki wa hiyo nyumba hata kama uko kwa jina lako tafuta ndugu yako, asajili Taarifa za umeme kwa jina lake.
Inamaana hata huyo mwanamke akinunua umeme Jina litakuja la mtu mwingine.
Pia we mwanaume usiishi katika hiyo nyumba.
Uwe unaenda na kuondoka, Uwe na Sehemu yako maalum ya Kuishi.
Mali zako huyo mwanamke hapaswi kuzijua, maana Wanawake wengi wanaingia katika mahusiano kwa kuelnga Faida
Sasa usipokua makini utapoteza Mali zako.