Uwezi kunielewa kwa sasa, ila ukisha kua na Mali na mkaburuzana Mahakamani ndo utanielewa, sijaz zungumzia nyumba Biashara Moja au 2 au nyumba 1,2,3.utafute kwa shida na uishi kwa shida kisa tu mwanamke!?
Ngoja ukue mkuu! Huu uzi utakuja kuufuta wewe mwenyewe!Kama umepambana na una Mali nyingi usioe.
Tafuta mwanamke uwe nae kama mpenzi tu.
Jenga nyumba Sehemu na umueleze huyo mwanamke kua umempangishia. Umiliki wa hiyo nyumba hata kama uko kwa jina lako tafuta ndugu yako, asajiri Taarifa za umeme kwa jina lake.
Inamaana hata huyo mwanamke akinunua umeme Jina litakuja la mtu mwingine.
Pia we mwanaume usiishi ktk hiyo nyumba.
Uwe unaenda na kuondoka, Uwe na Sehemu yako maalum ya Kuishi.
Mali zako huyo mwanamke hapaswi kuzijua, maana Wanawake wengi wanaingia ktk mahusiano kwa kuelnga Faida
Sasa usipokua makini utapoteza Mali zako.
Udumia mwanamke kama unahudumia kimada, yeye awe kule na wewe uwe uku, Ukiwa unalind Mali zako la sivyo unapotezaSasa unaoa kutafuta nini hata mpenzi hatakiwi, kwahiyo huyo mwanamke hapo kwako ataishi kama pazia? Kuna wanauwezo kuliko wanaume, kwahiyo nayeye aww anatafuta na kutunzia kwao, sasa hiyo itakuwa nyumba kweli?
ndugu nishasimama mahakamani Kwa Mali yangu Mwenye kama una Mali yeyote kwa sasa tenga akili yako Vizuri na husisha hata wanasheria Ili kulinda Mali yako ukichanganya ana akili yako.Ngoja ukue mkuu! Huu uzi utakuja kuufuta wewe mwenyewe!
Hii kesi hata Wakili aliyehitimu jana anashinda, kama Kigezo cha kuishi pamoja kingekuwa na Nguvu kiasi hicho wanawake wasingetaka kufunga Ndoa na kuwa na kithibitisho cha Cheti cha Ndoa,jamii inayowazunguka lazima iwe inawachukulia kama mke na mke. Pia lazima jamii iwape heshima na sifa kama watu mliooana n.k.
Basi nayeye aishi hivyo hivyo kihawara hawara hivyoUdumia mwanamke kama unahudumia kimada, yeye awe kule na wewe uwe uku, Ukiwa unalind Mali zako la sivyo unapoteza
Utakuja ufe, nguvu zako wale watu baki kabisa,vitoto vyako vikose hata ada ya shule na wandewa wafanye michakato hiyo nyumba inayosoma majina yao kwenye mita waichukue na familiya yako ifukiziwe mbali mwituni.Kama umepambana na una Mali nyingi usioe.
Tafuta mwanamke uwe nae kama mpenzi tu.
Jenga nyumba Sehemu na umueleze huyo mwanamke kua umempangishia.
Umiliki wa hiyo nyumba hata kama uko kwa jina lako tafuta ndugu yako, asajili Taarifa za umeme kwa jina lake.
Inamaana hata huyo mwanamke akinunua umeme Jina litakuja la mtu mwingine.
Pia we mwanaume usiishi katika hiyo nyumba.
Uwe unaenda na kuondoka, Uwe na Sehemu yako maalum ya Kuishi.
Mali zako huyo mwanamke hapaswi kuzijua, maana Wanawake wengi wanaingia katika mahusiano kwa kuelnga Faida
Sasa usipokua makini utapoteza Mali zako.
Kumbe mali huwa zina chumwa tu kama maboga shambani daah nilikuwa sijuiiwe rahisi kupata mgao wa mali mlizochuma kwa pamoja.
Hii yote ya nini.. Mbona wanawake wana Mali zao... Dunia imebadilika anayetegemea mali za mwanaume huyo ajiangalie ana shida kichwaniKama umepambana na una Mali nyingi usioe.
Tafuta mwanamke uwe nae kama mpenzi tu.
Jenga nyumba Sehemu na umueleze huyo mwanamke kua umempangishia.
Umiliki wa hiyo nyumba hata kama uko kwa jina lako tafuta ndugu yako, asajili Taarifa za umeme kwa jina lake.
Inamaana hata huyo mwanamke akinunua umeme Jina litakuja la mtu mwingine.
Pia we mwanaume usiishi katika hiyo nyumba.
Uwe unaenda na kuondoka, Uwe na Sehemu yako maalum ya Kuishi.
Mali zako huyo mwanamke hapaswi kuzijua, maana Wanawake wengi wanaingia katika mahusiano kwa kuelnga Faida
Sasa usipokua makini utapoteza Mali zako.
Kabisa yaani...Kila mtu awe na mali zake. Mkikutana ni kwa nia ya kuendeleza kizazi tu.