PostGE2025 Njia ya kumaliza maandamano, sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe kwanza

PostGE2025 Njia ya kumaliza maandamano, sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe kwanza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Njia ya kumaliza maandamano sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe kwanza ikiwemo muuaji kuachia madaraka hata tutawala kamwe.

Na hakuna mtu wa kutubabaisha babaisha tunachukua nchi yetu.
 
Yamebaki masaa tu ile siku yetu tukufu iwadie.

Siku ya kumuonesha Samia na wauaji wengine nani hasa ni mwenye nchi.
 
Samia achia madaraka mama huwezi tawala hii nchi kuandamana ndio itakua mwimbo wa kila siku.
Achia rudi Zanzibar tujue watanganyika tunajipanga vipi
 
Watanzania wapo tayari kwa maandamano makubwa nchi nzima D25 sababu kuu za maandamano mpaka zitatuliwe ni lazima sio hiyari.

Watanzania watasimamisha nchi kwa mara nyengine tena D25. sababu kuu za maandamano hazikwepeki.
 
Yaani hakuna maji wiki ya nne halafu anatokea mjinga mmoja ati meya anakwambia madiwani tatueni kero za wananchi?
Hivi Hawa wanajielewa kweli Hawa ma ccm??
 
Acheni huo ujinga wa kuhamasisha maandamano siku ya Ibada ya Wakristo. Waacheni waadhimishe siku ya kuzaliwa Mwokozi wao kwa amani bila kuingiliwa. Kama mnataka maandamano itisheni January 13.
 
Watanzania wapo tayari kwa maandamano makubwa nchi nzima D25 sababu kuu za maandamano mpaka zitatuliwe ni lazima sio hiyari.

Watanzania watasimamisha nchi kwa mara nyengine tena D25. sababu kuu za maandamano hazikwepeki.
1.Tutafutiwe silaha
2. Tuingie msituni
3.Tuombe msaada kwa KAGAME
 
Watanzania wapo tayari kwa maandamano makubwa nchi nzima D25 sababu kuu za maandamano mpaka zitatuliwe ni lazima sio hiyari.

Watanzania watasimamisha nchi kwa mara nyengine tena D25. sababu kuu za maandamano hazikwepeki.
Ningetamani sana kuwepo na maandamano, lakini sidhani kama watu watakuwa tayari kuandamana. Ni kama tumekubali kuendelea kuishi kwenye dhuluma tu!
 
Tuwaache tu wamalizie miaka mitano si mingi mda wake unaisha!, huwezi shindana na mwenye risasi mda huo ukiwa mikono mitupu!.
 
Naunga mkono maandamano ya D25
Yataleta utulivu badala ya makelele ya walevi
 
Back
Top Bottom