Mziki siunaukumbuka wa 29/10
Wewe unaonekana ni rahisi sana ukiwa na cheo ukaiuza nchi yakoMtoa mada yupo nje anawachochea ili muuane nyie kwa nyie
Mziki siunaukumbuka wa 29/10
Wewe unaonekana ni rahisi sana ukiwa na cheo ukaiuza nchi yakoMtoa mada yupo nje anawachochea ili muuane nyie kwa nyie
Una akili fupi mnoTuwaache tu wamalizie miaka mitano si mingi mda wake unaisha!, huwezi shindana na mwenye risasi mda huo ukiwa mikono mitupu!.
sometimes bora kujifanya mjinga siku ziende kumbuka kunguru mwoga huishi miaka mingi,Una akili fuli mno
Nchi inauzwaje ?Wewe unaonekana ni rahisi sana ukiwa na cheo ukaiuza nchi yako