Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Yani balaaMuuaji ana king'ang'a huyu!
1.Tutafutiwe silahaWatanzania wapo tayari kwa maandamano makubwa nchi nzima D25 sababu kuu za maandamano mpaka zitatuliwe ni lazima sio hiyari.
Watanzania watasimamisha nchi kwa mara nyengine tena D25. sababu kuu za maandamano hazikwepeki.
Acheni huo ujinga wa kuhamasisha maandamano siku ya Ibada ya Wakristo. Waacheni waadhimishe siku ya kuzaliwa Mwokozi wao kwa amani bila kuingiliwa. Kama mnataka maandamano itisheni January 13.
Ningetamani sana kuwepo na maandamano, lakini sidhani kama watu watakuwa tayari kuandamana. Ni kama tumekubali kuendelea kuishi kwenye dhuluma tu!Watanzania wapo tayari kwa maandamano makubwa nchi nzima D25 sababu kuu za maandamano mpaka zitatuliwe ni lazima sio hiyari.
Watanzania watasimamisha nchi kwa mara nyengine tena D25. sababu kuu za maandamano hazikwepeki.
Mziki siunaukumbuka wa 29/10Ningetamani sana kuwepo na maandamano, lakini sidhani kama watu watakuwa tayari kuandamana. Ni kama tumekubali kuendelea kuishi kwenye dhuluma tu!
Mtoa mada yupo nje anawachochea ili muuane nyie kwa nyieTuwaache tu wamalizie miaka mitano si mingi mda wake unaisha!, huwezi shindana na mwenye risasi mda huo ukiwa mikono mitupu!.