Njia ya kuongea na mwanamke ipasavyo ili afunguke kukwambia kila kitu


Sahihi
 

Uko sawa kabisa,vijana wajifunze
 
Hii njia nimeitumia ni kweli inafanya kazi .nimetumia wiki iliyopita Hadi Sasa namfahamu yeye nje ndani plus her family life hearth.
ila kwenye kutoa ushauri, hapo huwa na violates, maana huwa nasikiliza nakutafuta ushauri mzuri wa kumpa.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 

1: Ukiongea nae anasema unampigia makelee au unaperecha perecha

2: Ukimuuliza maswali anasema unamtega hapendi maswali maswali wala kujieleza sana

3: Na ukipiga kimnya anakupigia halafu ana kulaumu umemsusa yani humpendi tena

Nb:Inshort wanawake ni watoto wenye miili mikubwa na miaka mingi, wanume tuendelee na kutafuta hela tujenge uchumi imara maana ukiwaendekeza utazeeka na hakuna ulichofanya cha maana
 
Kwahiyo unamaanisha kwa namna nyingine mwanamke akianza kuongelea ugumu wa maisha unao mkabili, hana mafuta , hana hela, hajasuka, hana viatu na wala nguo za ndani hana ina maana tuishie kuwakiss na kuwakumbatia tuu mkuu bila kumtatulia shida yake?
 
Kwani wao hawana kabisa uwezo kuadapt mwanaume wake alivyo? Kama ndivyo basi hakuna haja unachokisema.
 
Mfumo jike
e unatesa Sana vijana!!

Hisia za kike kuizitimiza ni kazi sana na hawaridhiki kabisa!!!

Ukishaingia tu kwenye huo mtego yamekushinda!!Huwa inakuletea dharau baadae!!
 
Notisi zimeeleweka tatizo Ni kukariri na kujibia mtihani.
Kumbe kusahihisha na kutoa ushauri na maoni kabla ya ruhusa Ni kosa. Kuna mengi ya kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…