Njia ya kupata moyo wa mwanaume ni kupitia tumbo lake

kwa wanaume wa sahiv labda hicho chakula ukiwekee limbwata, utampikia vizur na akifikiria kukutema atakutema tu
Miss Natafuta
 
Miss ngoja nije unifundishe mapishi nisijeachika bure
 
Bila shaka kuwa njaa huzusha mapungufu katika mwili wa mwanaadamu na huathiri hata namna ya kufikiri kwake, huenda akapata dhiki au wakati mwengine furaha, katika hali kama hizo nafsi ikipata inachokitamani na kukipenda miongoni mwa aina za vyakula hufurahi na kwa hiyo humpenda aliyekitengeneza chakula kile.

Katika wasia wa Umaamah binti Al-Haarith kwa mwanawe wakati wa ndoa yake:
“Angalia kwa makini wakati wa kula na kulala kwake: kwa hakika njaa nyingi huchoma na kukosesha usingizi na hutia ghadhabu”

Kwa hakika mwanamke mwenye kujali wakati wa chakula cha mumewe na akajitahidi kuandaa chakula kizuri zaidi kwa kadiri ya uwezo wake ndie mtu wa karibu zaidi kuupata moyo wa mume wake na heshima yake. Sikusudii wala sipendelei kusema kuwa mwanamke apoteze masaa mengi katika kuandaa chakula, bali apike kile anachokipenda mume wake bila ya kuharibu majukumu yake mengine.

Pindi anaporudi mumewe kutoka kazini na wakati huo huo njaa inamuunguza anakuta chakula kilishaandaliwa na nyumba ni safi na mkewe anamsubiri ili ashirikiane naye chakula, kwa hakika katika hali kama hii ni juu ya Mwenyezi Mungu kuwabarikiri katika mazingira haya mazuri ya kiimani na hii ndio familia iliyobarikiwa.
 
woooh nimependa comment yako .kweli uislam ni dini ya Mwenyenzi Mungu maana inatufundisha ukweli wa maisha
 
Sawa mkuu ila kuamka asubuhi kupika machakula mengi magumu jamani? Nitajitahidi ... Niamke nipike magimbi chai mkate mmh haya
 
I need a lady in the streets but a freak in the sheets
That know how to cook cause a nigga like to eat
Spaghetti, shrimp and steak and I'll adore you
 
Shoga yangu hakuna mwanamke ambaye hapendi kufurahisha familia yake (sio mume tu) kwa mapochopocho tatizo ni HELAAAAA kama PESAAAA au FEDHAAA
 
hakuna asiependa kula vizuri mkuu
Sasa chakula umepika vizuri na kitamu halafu unaniacha mezani peke yangu uko kwenye makochi unachati na kujichekea huku ukinitazama kama nakuona,unafikiri hata utamu nauona..!!!
 
Back
Top Bottom