Njia ya kupata moyo wa mwanaume ni kupitia tumbo lake

Njia ya kupata moyo wa mwanaume ni kupitia tumbo lake

Sawa mkuu ila kuamka asubuhi kupika machakula mengi magumu jamani? Nitajitahidi ... Niamke nipike magimbi chai mkate mmh haya
ndo maana mwanamke unatakiwa uwe na majiko mengi shogaa. na kupika kwaitaji nafasi
 
Sasa chakula umepika vizuri na kitamu halafu unaniacha mezani peke yangu uko kwenye makochi unachati na kujichekea huku ukinitazama kama nakuona,unafikiri hata utamu nauona..!!!
soma comment ya huyu mdau mkuu kaeleza vizuri inavotakiwa
Bila shaka kuwa njaa huzusha mapungufu katika mwili wa mwanaadamu na huathiri hata namna ya kufikiri kwake, huenda akapata dhiki au wakati mwengine furaha, katika hali kama hizo nafsi ikipata inachokitamani na kukipenda miongoni mwa aina za vyakula hufurahi na kwa hiyo humpenda aliyekitengeneza chakula kile.

Katika wasia wa Umaamah binti Al-Haarith kwa mwanawe wakati wa ndoa yake:
“Angalia kwa makini wakati wa kula na kulala kwake: kwa hakika njaa nyingi huchoma na kukosesha usingizi na hutia ghadhabu”

Kwa hakika mwanamke mwenye kujali wakati wa chakula cha mumewe na akajitahidi kuandaa chakula kizuri zaidi kwa kadiri ya uwezo wake ndie mtu wa karibu zaidi kuupata moyo wa mume wake na heshima yake. Sikusudii wala sipendelei kusema kuwa mwanamke apoteze masaa mengi katika kuandaa chakula, bali apike kile anachokipenda mume wake bila ya kuharibu majukumu yake mengine.

Pindi anaporudi mumewe kutoka kazini na wakati huo huo njaa inamuunguza anakuta chakula kilishaandaliwa na nyumba ni safi na mkewe anamsubiri ili ashirikiane naye chakula, kwa hakika katika hali kama hii ni juu ya Mwenyezi Mungu kuwabarikiri katika mazingira haya mazuri ya kiimani na hii ndio familia iliyobarikiwa.
 
Ila ukumbuke pia hayo uloyataja yanahitaji pesa
Watz tulo wengi hatumudu hzo mambo
 
Naunga mkono hoja napenda sana vyakula kuliko hata mangono(mapenzi)
 
Sawa mkuu ila kuamka asubuhi kupika machakula mengi magumu jamani? Nitajitahidi ... Niamke nipike magimbi chai mkate mmh haya
Mkuu ushaonyesha dalili ya uvivu utaachika shauri yako!! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
JAMANIIIII MISS NATAFUTAAAAAA LEO UMENISHIKAAAAA PENYEWEEEEEEE.

YAAAAN NAPENDA MWANAMKE ANANAYEJUA KUPIKA ALAFU AKAWA KITANDAN MJUZI HAHAHAHAHAHA SICHOMOK NG"OOOOOOO.

ASANTE SANA KIBONGE WANGUUUUU.

ON BEHALF YA WANAUME WOTE TUNAOPENDA KULA NYUMBAN NA KULA VILIVYOUNGWA HASAAAAA NAKUPONGEZA MKUUU BANY I LOVE YOUUUUU SOO MUCH ,YOU DRIVE ME VERY KIREIZ .......

SIO UNAKUTA MWANAMKE NDANI KUPIKA NI 000000000000 UTAPATA WAPI NGUVU ZASHOW ?????????????????????

baby , kwa heshima na taadhima ,,, nakualika siku moja uje unipikie chakula kitamuuuuuuu wee utanambia garama zake tuuuu....
 
The Way to a Man's Heart is Through His Stomach! Hii ni methali ya kizungu haipo kwenye methali za wahenga wetu wa kiswahili ila ina make sense hata huku kwetu uswazi.

Ni aibu wanawake wengi hawajui kupika, hata kama ni kupika tunapika kwa mazoea yale yale, alipika bibi,mama akarithi na wewe unaendeleza.

Pamoja na mabadiliko na fursa zilizopo wengi hawataki kujiongeza. Asubuhi ratiba ya mama ilikuwa ni chai mkate blueband au kiporo na wewe miaka hii unaendeleza hivo hivo asubuhi unarusha limfuko la mkate, lichupa la chai hata majani hayajakolea na sukari nyiingi na liblue band la kichina pale mezani.

Mume akitaka chai afungue limfuko la mkate achukue anywe chai? Kweli? hamjawai kujiuliza kwanini wanaume wengi ndo wapenzi wa supu kwa mama ntilie? Unadhani hawana nyumba wale, wamechoka mamikate yenu.

Asubuhi weka chai mezani, mkate kidogo, matunda kidogo, maji, juice mayai kidogo, viazi vitamu au magimbi, supu kidogo, nyama kidogo kuku au fishi yaani mtu akifika mezani apumue kabisa.

Niwashauri kina mama hebu tubadilike jamani tuzifunze milo mizuri kwa familia zetu. Ukimpikia mume vyakula vizuri wala hatohangaika. Tatizo uvivu umewajaa wengi muda wa jikoni hawana, hatupo creative. Vyakula ni vilevile wali, pilau tambi kila siku wakati halafu mimafuta miiingi hadi wababa wa watu visukari vinawatesa, vibamia vinaongezeka halafu mnaanza kuchepuka.

Mungu katubariki vitu vingi mno hapa nchini tena bei rahisi ukienda masokoni na elf 20 unarudi na kiroba cha week. Wengi wavivu kazi kununua magengeni bei ni mara tatu elfu 20 unaishia kula kwa siku.

Na nyie wanaume mtununulie majiko mazuri mimi ikitokea nikapata mtu wa kunioa mahari yangu ni awe tayari kununua jiko kali. Kama huna mahari inayotosha kununua jiko wala sitokufikiria.
TUMESIKIAAAA
 
Ila ukumbuke pia hayo uloyataja yanahitaji pesa
Watz tulo wengi hatumudu hzo mambo
unataka kununua kila kitu gengeni lena masokoni huko vitu hadi vinaoza mle bei chee kabisa
 
Mie najua kupika chai na uji. Inatosha.
 
JAMANIIIII MISS NATAFUTAAAAAA LEO UMENISHIKAAAAA PENYEWEEEEEEE.

YAAAAN NAPENDA MWANAMKE ANANAYEJUA KUPIKA ALAFU AKAWA KITANDAN MJUZI HAHAHAHAHAHA SICHOMOK NG"OOOOOOO.

ASANTE SANA KIBONGE WANGUUUUU.

ON BEHALF YA WANAUME WOTE TUNAOPENDA KULA NYUMBAN NA KULA VILIVYOUNGWA HASAAAAA NAKUPONGEZA MKUUU BANY I LOVE YOUUUUU SOO MUCH ,YOU DRIVE ME VERY KIREIZ .......

SIO UNAKUTA MWANAMKE NDANI KUPIKA NI 000000000000 UTAPATA WAPI NGUVU ZASHOW ?????????????????????

baby , kwa heshima na taadhima ,,, nakualika siku moja uje unipikie chakula kitamuuuuuuu wee utanambia garama zake tuuuu....
Huwezi pata vyote, anaejua kupika na akajua kukupakua kitandani lbd usubiri nikuzalie,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
JAMANIIIII MISS NATAFUTAAAAAA LEO UMENISHIKAAAAA PENYEWEEEEEEE.

YAAAAN NAPENDA MWANAMKE ANANAYEJUA KUPIKA ALAFU AKAWA KITANDAN MJUZI HAHAHAHAHAHA SICHOMOK NG"OOOOOOO.

ASANTE SANA KIBONGE WANGUUUUU.

ON BEHALF YA WANAUME WOTE TUNAOPENDA KULA NYUMBAN NA KULA VILIVYOUNGWA HASAAAAA NAKUPONGEZA MKUUU BANY I LOVE YOUUUUU SOO MUCH ,YOU DRIVE ME VERY KIREIZ .......

SIO UNAKUTA MWANAMKE NDANI KUPIKA NI 000000000000 UTAPATA WAPI NGUVU ZASHOW ?????????????????????

baby , kwa heshima na taadhima ,,, nakualika siku moja uje unipikie chakula kitamuuuuuuu wee utanambia garama zake tuuuu....
mwambie mkeo anialike bna
 
Back
Top Bottom