Mejasoko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 298
- 600
Bila kuanza kutoa huwezi kupokea, hii ni Kanuni ya asili ya ulimwengu aliyoweka muumbaji, hata walimu wa theolojia wanatufundisha kwamba upendo wa Mungu upo maximum and constant haupungi Wala hauongezeki.
Hivyo unachotakiwa kuusogelea karibu ili uweze kuufaidi, na huko kuusogelea karibu ndio humaanisha kumpenda Mungu na kadiri unavyompenda ndivyo unavyozidi kuneemeka
Zaburi 91:14-16
Hivyo wapendwa tujitahidi kumuinulia Mungu Ibada kwa uwezo wetu wote tuzidi kuneemeka na kubarikiwa na upendo wake aliye juu zaidi Mungu Mwenyezi.
Niwatakie Noeli Njema.