Mwenye Upendo mara zote hawi mhitaji tena, binadamu wengi ni wahitaji kwa sababu hawajajua upendo na kukosa kutumia upendo uliowekwa ndani Yao
Mungu ni chemu chemu ya upendo wote, hana hitaji lolote kutoka kwa Mwanadamu, hapungukiwi kitu Mwanadamu asipomkaribia, ila anampenda Mwanadamu awe kwa mfano wake "Na tumuumbe mtu wa kufanana na sisi"
Upendo ni njia ya ufanisi wa hali ya juu kuleta utoshelevu hii ni Kanuni ya asili kutoka kwa Muumba.
Chukua hiyo...............
Spread love this xmass!