Njia ya kutengeneza milioni 100 bila mtaji... ila inataka moyo wa chuma

Nenda stand kwa konde na dereva lazima katika magari 20 utakubaliwa mojjawapo
Nadhani hujaelewa maana neno "PASIPO NA MTAJI" kula napo utaomba mikate ishuke? Kulala utalala wapi?

In simple word unataka kutengeneza "MATONYA WA KISHUA" ? Yani ombaomba classic😀 serikali inajitahidi kupunguza ombaomba halafu wasomi mnabuni mbinu za kuwa ombaomba.

Kweli kazi iendelee ndege...
 
😂🤣😂 kmamake serikali ya matapeli embu tengenezeni ajira vijana wapate kazi, ona watu wanakuja na mikakati mfu ya kupata pesa, mwisho wa siku watakuja kuiteka nchi
 
Nimekwambia jinyime ishi km monk..kula omba kwa watu
 
Tufanye nauli ya wilaya hadi wilaya ni 10,000

Chakula kwa siku unajibana 5,000

Malazi 10,000

Nauli ndogondogo 10,000

Jumla 35,000 kwa wiki

35,000x7 = 245,000 kwa miaka mitatu ni 38,220,000.

Weka tahadhari kwa hiyo miaka 10,000,000 jumla 48,000,000+

Lengo lako ni nini hasa
 
nimekwambia ishi maisha yasiyo ya kawaida..chakula unaomba,kusafiri unaomba,unalala nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…