Njia rahisi ya kuwatimu wamachinga ni serikali kutengeneza ajira mpya.
Haina maana kabisa kuwa na mji msafi halafu watu wanakufa na njaa, watu wanashindwa kuhudumia familia zao.
Tatizo liliopo siyo machinga kuteka mitaa, tatizo liliopo ni hakuna ajira mbadala. Tengeneza ajira umachinga utakufa wenyewe.
Hakuna mtu anayependa kupanga vitu kwenye lami barabarani achomwe jua kutwa na amezee vumbi.