supermarkets nyingi zinamilikiwa na makampuni makubwa makubwa km amazon, walmart, schwartz n.k, kuna mwaka huko US survey ilionesha karibu asilimia 80 ya wateja wa bidhaa za majumbani walitembelea store za walmart kununua bidhaa, hio ni nchi yenye watu zaidi ya millioni 300 mkuu unaweza ukaona ni jinsi gani haya madude yalivyo control hio biashara ndio maana mi nasema unachokisema ww hakina uhalisia, pengine ufahamu kwnz hio biashara unayoisema inaendeshwa vp huko dunia ya kwanza, juzi kati huko india wakulima walikua wanaandamana hatari km ulifuatilia shida ilikuwa nn basi unaweza jua kwann huo mtazamo wako hauendani kabisa uhalisia wa hio biashara