Njia ya TAZARA imeanza kuhujumiwa rasmi?

Inaweza kuwa kweli au sio kweli lakini watu wakitaka wakuyumbishe watakuambia Leta ushahidi,ukileta ushahidi faili linapotezwa ikiwezekana hata shahidi anapotezwa "hiyo ndio Africa"
Labda alternative ushahidi wa kubumba. Kwamba kwanini treni zinaanguka wakati huu wakati mwanzo zilikuwa hazianguki. Kitaalamu tu ndiyo mahakama itakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…