Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Hata sabaya alishawahi kuja na hizi ngonjera zikakanushwa! Hii nchi bhana!Weka ushahidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sabaya alishawahi kuja na hizi ngonjera zikakanushwa! Hii nchi bhana!Weka ushahidi
Labda alternative ushahidi wa kubumba. Kwamba kwanini treni zinaanguka wakati huu wakati mwanzo zilikuwa hazianguki. Kitaalamu tu ndiyo mahakama itakuelewaInaweza kuwa kweli au sio kweli lakini watu wakitaka wakuyumbishe watakuambia Leta ushahidi,ukileta ushahidi faili linapotezwa ikiwezekana hata shahidi anapotezwa "hiyo ndio Africa"