Njia za asili za kufanya uke kuwa mdogo

Joined
Jul 15, 2015
Posts
63
Reaction score
61
Habari zenu wakuu,

Leo mezani nawaletea akina dada njia kuu mbili za kufanya uke wako kua mdogo na wakubana.

Njia ya kwanza:

Chukua vitunguu swaumu menya yale maganda yake ndo dawa tosha, kisha chukua moto na vua nguo zako za chini kuwa kama unafukiza uke wako. Hakikisha moshi ule unaingia moja kwa moja katika uke baada ya hapo chukua ndimu mbili kamlia katika uke wako.

Nakuhakikishia uke wako utakua mdogo wenye kubana na mmeo au mpenzio ataufurahia.


Njia ya pili:

Chukua mgagani utwange hadi ulainike kisha andaa kitambaa cheupe cotton weka ule mgagani ukifatiwa na kijiko cha asali kisha weka kile kitambaa kama muundo wa pedi ndani ya dakika 25 fanya hivyo kwa siku saba.

Pia mgagani unaeza kutumika pia kubana sehemu ya haja kubwa kwa wale waliowahi kufanya mapenzi kinyume cha maumbile twanga mgagani kisha weka sehemu ya haja kubwa.

Asanteni

Njia zaidi:-

 
MziziMkavu amevamiwa. bila shaka ukawa bado wanagombania nani agombee udiwani na majimbo ya ubunge na uraisi
 


Yote hii ni kutafuta nini? papuchi iwe ndogo ili iweje? acha kuwadhalilisha na kuwasimanga wanawake wewe! kwa mwennye kujua kuchezesha dushe lake ndani ya papu hahitaji ukubwa au udogo wa kutumia madudu uliyoyataja.
 
Kazi mnayo! hakuna uke usio na size yake ya mtwangio mnaharibu tu asili za uke zenu.
 
Nadhani hata shetani sasa anakaa kona kushangaa innovation za mwanadamu.
 
Yote hii ni kutafuta nini? papuchi iwe ndogo ili iweje? acha kuwadhalilisha na kuwasimanga wanawake wewe! kwa mwennye kujua kuchezesha dushe lake ndani ya papu hahitaji ukubwa au udogo wa kutumia madudu uliyoyataja.

Nimewasimanga wapi wewe watetee wakati wao wanaenda kuufanyia kazi uzi huu au wewe ni team kibamia :what::what:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…