Njia za asili za kufanya uke kuwa mdogo



Swali.

Mkuu mimi ni me lakini nataka kujua kama hii therapy mama akishaifanya ni ya kudumu au lazima aifanye kila anapotegemea kuwa katika tendo la ndoa?
 
Haya sasa wale wenye ma mainroads kazi kwenu!
 
:glasses-nerdy:uta wwaapata wengi hapa...sidhaani kama kuna kitu kina weza badilisha Anatomy disorder ya binadamu zaidi ya surgery& ajali....!!!!
 
ushauri huu ni mzuri kwa wanawake ambao hawana mpango wa kuzaa, manake akiutumia wakati wa kujifungua itakuwa shida
 
Ukubwa uliopitiliza wa uke ni ulemavu kama ulemavu mwingine.....
Uliochotakiwa ni kuwapa ni kuwapa wanawake wenzio mbinu za kutunza ndoa zao...
 
this is really bad advice. alafu kuna watu watafanya hivi kabisa, dah
 
Hahahahahhaah hatariiiiii..... jamani mimi ni ke na hata ukienda kwa magyno unaambiwa its not advised kitu chochote kuingine ukeni which is not meant 2 b there na ndo maana hatushauriwi hata kujiosha na sabuni za kawaida kwasababu zina madhara kwetu. According to me na uelewa wangu ni kua hizi vitu zina madhara makubwa sana hayataanza leo but eventually yatatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…