Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena unauweka siku nzima!!
We baki nalo tu hilo shimo lako sawa
Unawasaidia bila kuleta nini madhara ya kufanya hivyo baada ya miaka 5.
Poleni dada zangu na mama zangu maana mnakutana na mengi.
Kila mtu na maumbile yake nitakutana na aliyejaaliwa na mwenyezi Mungu itabana tu
Hii yote ni mbinu ya kuwafurahisha vibamia team!! ha ha haaaa jiongezeni
Nyuke zote zilishapanuka hata wao walishajishtukia, zingekua na odometer sijui tu ingekuaje
Habari zenu wakuu leo mezani nawaletea akina dada njia kuu mbili za kufanya uke wako kua mdogo na wakubana
Njia ya kwanza
Chukua vitunguu swaumu menya yale maganda yake ndo dawa tosha, kisha chukua moto na moto vua nguo zako za chini kua kama unafukiza uke wako hakikisha moshi ule unaingia moja kwa moja katika uke baada ya hapo chukua ndimu mbili kamlia ktk uke wako
Nakuhakikishia uke wako utakua mdogo wenye kubana na mmeo au mpenzio ataufuragia
Njia ya pili: chukua mgagani utwange hadi ulainike kisha andaa kitambaa cheupe cotton weka ule mgagani ukifatiwa na kijiko cha asali kisha weka kile kitambaa kama muundo wa pedi ndani ya dakika 25 fanya hivyo kwa siku saba
Pia mgagani unaeza kutumika pia kubana sehemu ya haja kubwa kwa wale waliowahi kufanya mapenzi kinyume cha maumbile twanga mgagani kisha weka sehemu ya haja kubwa
Asanteni
Kweli wewe ni ukoo/kabila moja na Mr John Alcohol Padlocks
habari zenu wakuu leo mezani nawaletea akina dada njia kuu mbili za kufanya uke wako kua mdogo na wakubana
njia ya kwanza
chukua vitunguu swaumu menya yale maganda yake ndo dawa tosha, kisha chukua moto na moto vua nguo zako za chini kua kama unafukiza uke wako hakikisha moshi ule unaingia moja kwa moja katika uke baada ya hapo chukua ndimu mbili kamlia ktk uke wako
nakuhakikishia uke wako utakua mdogo wenye kubana na mmeo au mpenzio ataufuragia
njia ya pili: Chukua mgagani utwange hadi ulainike kisha andaa kitambaa cheupe cotton weka ule mgagani ukifatiwa na kijiko cha asali kisha weka kile kitambaa kama muundo wa pedi ndani ya dakika 25 fanya hivyo kwa siku saba
pia mgagani unaeza kutumika pia kubana sehemu ya haja kubwa kwa wale waliowahi kufanya mapenzi kinyume cha maumbile twanga mgagani kisha weka sehemu ya haja kubwa
asanteni
Hivi mgagani ulivyo mchungu vile uuweke kwenye uke utabaki salama kweli
Bora nibaki na shimo langu kuliko kujiongezea madhara yasio yalazima
Pia zinaua wale bacteria ambao c harmful wanaosaidia uku chn na madhara yake n mtu kupata kansa ya kizaz