Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Habari wapendwa

Naomba maelekezo na ushuhuda ikiwezekana namna ya kutumia mbegu za mnyonyo kuzuia mimba.

Please msaada
 
Nimezikopi sehemu ila swala la kuzuia mimba sijaliona sehemu.


 
Mm ni mtumiaji wa nyonyo zaidi ya miaka 6, matumizi; cku ya kwanza ya bleed unameza mbegu 2 nyekundu na zina mabaka meupe menya ili kurahisisha uyeyukaji. NB; Nilikosea mwaka wa 3 toka nianze nikanywa ck ya mwisho ya bleed nilibeba mimba kunywa kwa wakat
 

Huyo mtoto mpe jina la mnyonyo.
 
Habari wapendwa

Naomba maelekezo na ushuhuda ikiwezekana namna ya kutumia mbegu za mnyonyo kuzuia mimba.

Please msaada
Njia ya Kwanza: Kupanga Uzazi Unaweza kutumia mbegu ya mnyonyo 1 kwa ajili ya kuzuia mimba kwa muda

wa mwezi mmoja . Unafanya hivi unapo maliza siku zako za hedhi ukisha oga kuwa msafi twanga

mbegu 1 ya mnyonyo kisha unywe na maji utaweza kuzuia mimba isiweze kukuingia kwa muda

wa mwezi mmoja utakuwa unafanya hivyo kila mwezi unapokuwa upo msafi. Tafadhali usile

mbegu ya mnyonyo zaidi ya moja ni sumu unaweza kudhurika au kupoteza hata maisha yako.



Njia ya Pili: ya kupanga uzazi

kwani yana kiasi fulani cha sumu ya protini ijulikanayo kitaalamu kama ricin ambayo ikitumiwa kwa kiasi

kidogo huharibu utungo, huweza pia kutumiwa kama mafuta ya kupaka ama losheni katika sehemu za siri



ili kuua mbegu za uzazi za kiume wakati wa tendo la kujamiiana. Uzazi wa mpango. Kwa maelezo zaidi na maswali unaweza pia kunitembelea blog yangu bonyeza hapa
http://mzizi-mkavu.blogspot.com.tr/2014/04/faida-mbalimbali-za-mti-wa-mnyonyo.html
 

Attachments

  • k9200-2i.jpg
    14.6 KB · Views: 251
hii thread ilipata wachangiaji wengi plz jaman tupeni mrejesho ili nami niitumie!?
 
jamani mliotumia hii njia, plizzzz......leteni mrejesho ili niingie kazini!
 
Leo hatoki mtu tusubiri atueleze vzur

Mkiona mpaka hii mada inafikia mwisho hamjapata ufafanuzi juu ya hizo mbegu za papai,nyie okoteni tu hizo mbegu popote muwe mnatafuna tu kama karanga kila siku.Mtafanyaje sasa kama maelekezo ya dawa mmeyakosa?
 
hivi mnayafahamu vizuri majivu? hahahahaaaaa hatar nusu kifo looo
 
Mkiona mpaka hii mada inafikia mwisho hamjapata ufafanuzi juu ya hizo mbegu za papai,nyie okoteni tu hizo mbegu popote muwe mnatafuna tu kama karanga kila siku.Mtafanyaje sasa kama maelekezo ya dawa mmeyakosa?

mbegu za papai?? mmmhhh na uchungu ule nani atafune kama karanga??? yatakuwa mateso bila chuki
 
+ glass ya majivu kinachofuata ni kuchafua mashuka kwa uharo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…