Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
masai dada aliniambia nikikuona nikusalimie basi kwa kuwa nimekuona wacha nizifikishe salama mambo vipi mzima weye.mimi mzima basi nakuacha na ujumbe usimao SIO VIZURI KUVUJISHA PM za SALAMU HUMU KWANI WEWE HUPENDI KUSALIMIWA TU.INASIKITISHA SANA KWAKWELI KUmfuatilia Mtu Ambaye Hakufuatilii Kumjali Mtu Ambaye Hakujali ,kumpenda Mtu Ambaye Hakupendi ,kuongea Na Mtu Ambaye Hakusikilizi .HII MIKOSI KATIKA MAISHA YANGU SIJUI ITAISHA LINI.[/QUOTE
Sina sauti mbele ya mme wangu afanyacho kwangu ni furaha yangu pm zote zitumwazo huziona kwa hiyo mtu chake lazima anilinde na majambazii ya humu,
Mke wa mtu ni sumu"
Last edited by a moderator:
