Kwanza lazima ujue kuwa hakuna njia salama kabisa(100% safe)...
Pili kwa kuwa unahitaji kujua njia ya asili, basi njia pekee ni kusoma mzunguko wa hedhi wa mwanamke na kuepuka kufanya mapenzi zile siku hatarishi...
Mkuu MALICK MUSSA Kinachotakikana ni kichwa cha popo ukikate hata aliye kufa pia unaweza kukitaka kichwa chake ukaweka chini ya mto wa kulalia kwa ndani yake (Pillow) Basi dume hata akifanya ufundi wa aina gani mwanamke au mke wake hawezi kushika mimba kamwe Tumia kisha uje hapa unipe Feedback. Chanzo ni Chemical MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.
Mto wa kulalia au kwa kiingereza unaitwa Pillow una siri kubwa sana.
Mkuu wangu MziziMkavu napata tabu kuhusisha mechanism of action katika kuzuia mimba, bado tunajifunza sana pia, hebu wengine King'asti, ZeMarcopolo, meningitis, Erythrocyte, @Dr Riwa naombeni jumuikeni huku
Habar waungwana Naomba Maelekezo ya Njia ya ASILI ya kuzuia Mimba ambayo ni salama kabisa.
Kuwacha ule mchezo.
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Faiza umerudi.
Waaaaaaaaaaaaaawwwooooooooo yaani nikumiss Faiza.
Ndio nini hivyo kutuacha wenzio njia panda lakini Faiza?
Haya, habari yako?
Mkuu FaizaFoxy Karibu Rafiki hata mimi niliku miss sana karibu tena Jukwaani.Thanks a lot, sikupenda iwe hivyo, hata mimi niliwa miss sana.
Kwa maelezo zaidi, fata link: https://www.jamiiforums.com/jf-chit...-kutekeleza-kauli-ya-pinda-2.html#post6854714
Ramadhan Kareem
Mkuu ZeMarcopolo Njia za kuzuia kutopata mimba Kwa kutumia njia ya Sayansi na Teknolojia ya Tiba Mbadala zipo nyingi na zingine siwezi kuweka hapa.Hahahahahahahahahaha
This is very interesting. Leo nilimuona client mmoja aliyekuwa very frustrated kwa sababu kwaka 2011 alipofanyiwa operation ya uzazi kwa mara ya nne alishauriwa kufungwa kizazi na akakubali. Aliporuhusiwa alihakikishiwa kuwa kizazi kimeshafungwa. Sasa ameshika mimba na anafikiria kufungua mashitaka.
Njia za kuzuia mimba kitaalam zinajulikana lakini hakuna njia hata moja iliyo na uhakika wa asilimia 100. Kila method ina percentage zake za mafanikio.
Hii ya kichwa cha popo bado sijafundishwa, ila na yenyewe pia itakuwa na percentage zake za failure. Tatizo ni pale failure inapokuwa percentage kubwa kuliko mafanikio! Method yenye sifa hizo huitwa trial and error na wataalam huwa hawaiweki katika list ya birth control methods. Moja wapo ya njia hizo ni withdraw method, yaani kutoa uume pale unapohisi shahawa zinataka kumwagika. Njia hii ina failure rate kubwa kiasi kwamba some books haiijumlishi kama njia ya borth control.
Labda mjomba "The Chemical" atujulishe percentage ya mafanikio kwa njia hii ya kichwa cha popo...
Thanks a lot, sikupenda iwe hivyo, hata mimi niliwa miss sana.
Kwa maelezo zaidi, fata link: https://www.jamiiforums.com/jf-chit...-kutekeleza-kauli-ya-pinda-2.html#post6854714
Ramadhan Kareem
Mkuu FaizaFoxy Nilikuwa sijajuwa umefungiwa kwa kosa gani kusema ukweli siku hizi hawaweki Thread yaDah, labda ningekuona ukafanya mambo yako wangenifungulia mapema. Missed you too.
Ramadhan Kareem
Mkuu ZeMarcopolo Njia za kuzuia kutopata mimba Kwa kutumia njia ya Sayansi na Teknolojia ya Tiba Mbadala zipo nyingi na zingine siwezi kuweka hapa.
Nimeweka njia mbili hapa ya kwanza Mwanamke atumie shabu kuweka sehemu zake za siri kwenye uke kabla ya tendo la ndoa.
Husaidia Spam au shahawa ya mwanamme inapotaka kuingia kwenye mfuko wa uzazi wa kike huwa hiyo shabu inaharibu hizo spam
shahawa za huyo mwanamme zinakufa nguvu na mwanammke anakuwa hawezi kupata mimba. Na njia ya Pili ya kicxhwa cha Popo
anakiweka huyo Mwanamke amabaye anataka asipate mimba kwenye ndani ya Mto wake wa kulalia basi atakapo fanya tendo la
ndoa hawezi kushika mimba mpaka akitowa hicho kichwa cha Pop anaweza kushika mimba jaribuni dawa zangu kisha munipe
Feedback. Chanzo MziziMkavu ( "The Chemical")
Mkuu BORNCV hii ni kwa ajili ya wana ndoa sio kwa waasherati.sie tunasafiri safiri sasa huko tunapoenda kwenye magesti na nyumba za watu wengine na kutumia mito yao(pillow) wakati wetu wenye kichwa cha popo tumeucha nyumbani itakuwaje? Style nyingine hatutumii kitanda inatakuwaje au sio lazima kulalia mtoto?
Mkuu mzizimkavu ujue huwa nakuaminia sana post zako!!!!!sasa popo tena.....daaaaaahhh!!!!
kwa hiyo hapa tunapoweka kichwa cha popo tutumie style moja tu?Mkuu ZeMarcopolo Njia za kuzuia kutopata mimba Kwa kutumia njia ya Sayansi na Teknolojia ya Tiba Mbadala zipo nyingi na zingine siwezi kuweka hapa.
Nimeweka njia mbili hapa ya kwanza Mwanamke atumie shabu kuweka sehemu zake za siri kwenye uke kabla ya tendo la ndoa.
Husaidia Spam au shahawa ya mwanamme inapotaka kuingia kwenye mfuko wa uzazi wa kike huwa hiyo shabu inaharibu hizo spam
shahawa za huyo mwanamme zinakufa nguvu na mwanammke anakuwa hawezi kupata mimba. Na njia ya Pili ya kicxhwa cha Popo
anakiweka huyo Mwanamke amabaye anataka asipate mimba kwenye ndani ya Mto wake wa kulalia basi atakapo fanya tendo la
ndoa hawezi kushika mimba mpaka akitowa hicho kichwa cha Pop anaweza kushika mimba jaribuni dawa zangu kisha munipe
Feedback. Chanzo MziziMkavu ( "The Chemical")
ha haaa, kuna watu wakikuona unatoa huu ushauri watakumeza, lol!Njia iliyo 100% ni kuacha kufanya tendo la ndoa hiyo una uhakika huwezi kupata ujauzito
umeona eeehhhh! yaani ni majanga?Hahahahahah lol! Chezeya MziziMkavu weye!!!!
Bibie Meljons Ninakufundisha Dawa
za mababu wetu walizokuwa wanatumia na kufanya tendo la ndoa pasipo kushika mimba tumia njia hii Mbadala fanya hivi.
Nunuwa Shabu kidogo japo punje moja weka sehemu zako za siri kwenye utupu wako kila unapotaka kukutana na mume
wako kisha fanya mapenzi nae hutoshika mimba kamwe. Jaribu kisha uje unipe feedback. Na njia ingine hii ukitaka usishike
Mimba Mtafute Mdudu Mmoja anaye itwa kwa jina Popo ukisha mpata mchinje upate kichwa chake uwe unaweka kichwa chake kwenye chini ya mto wako wakulalia
hautapata mimba muda wa hicho kichwa cha popo kipo chini ya mto wako wa kulalia jaribu kutumia moja ya hizo dawa
kisha uje hapa unipe feedback.