Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Hii njia huwa tunaitumia sana na mpenzi wangu miaka mitatu nyuma alikua ananiambia tutumie hii njia nikamwona kama ni chizi asiye elewa biology lakini niliamua kukubaliana nae akipata ujauzito iwe juu yake lakini hadi kesho sijaona kitumbo.haha mababu zetu walikua na akili kweli hata wazungu wanasubiri
 
Dark City. Karibu kunako mwanga. Zungumza na watu.
 
Last edited by a moderator:
kuna dawa nyingi tu ambazo ni scientifically verified tunaweza kutumia hizo- postnor 2, metakelfin+ junior asprin, pia cyprofloxacin za U.T.I huwa zinaforce bleed kutoka thats why wajawazito hatuwapagi cypro endapo wakionekana wana UTI wao kuna dawba nyingne hupewa ambazo pia hutibu uti!! pia tunashauriwa kunywa maji ya baridiiiiii kabisa ikiwezekana yanayokaribia kuganda husafisha mbeguza kiume. asanteeeeee!

asante nielezee khs kalenda kwa mwananke mwenye mzunguko was Sikh 28 usiobadilika badilika
 
Nizungumze kuhusu nn tena sikulazimishi ww uniamini.nikasiri kangu kadogo nimeamua niwape.★★★★over★★★★
 
kiungulia ni mimba?

Umezungumzia kupoteza uhai nikapata hisia ya sumu. Nimehoji nini kilitokea? Kwa kuwa umeenda nje ya mada basi nimekufuata uko. Juice hii inazuia bila hofu mkuu... Wewe tuu
 
nilipoteza ndugu kwa uji nga huu huu. Lakini kwa kuwa sikio la kufa halisikii dawa, nakisabahi tu babu.

Ahsante sana mpenzi Kongosho kwa ushuhuda wako..lol!!

A research of interest. Nipe muda nitakuja hapa na hilo....
Tunaacha misingi ya kwetu kwa kigezo cha sayansi za vitabuni. Anyway haya yote ni matokeo ya mifumo iliyopangwa, ikapandikizwa na tukakubali kuifuata.
Kwa umri wako na hekima zako ni mangapi ktk hii dunia unayaona au kuyasikia, ni ya kweli ktk maisha yako na unajua sayansi yake? Kati ya hayo unayojua umehakiki mangapi na kujiridhisha kuwa yanavyosemwa/kuandikwa ndivyo yalivyo?
changamoto mpya kwako mstaafu.

Kwa taarifa yako mimi siyo muumini wa mambo ya kubuni au kubashiri...

Naomba ufuatilie threads za nyuma, utagundua jinsi nivyokorofishana na watu wengi (baadhi yao ni marafiki wa karibu) kwa jinsi nilivyopinga mambo ambayo hayana ushahidi wa kisayansi au kimahesabu kama DECI na tiba ya Babu wa Loliondo!

Pia naomba utofautishe suala la mtu kuwa na misimamo ya kisayansi na kulewa kasumba za Magharibi kwani hata huko kwenyewe kuna watu amabo hawaamini sayansi pia!
 
Last edited by a moderator:
nilipoteza ndugu kwa uji nga huu huu. Lakini kwa kuwa sikio la kufa halisikii dawa, nakisabahi tu babu.

Dark City. Karibu kunako mwanga. Zungumza na watu.

Kwani mnashindwa nini kutuelezea mode of action ya majivu yenu?

Kwamba mmebahatisha mkaendelea kufurahia uzinzi siyo proof kwamba kuna kinga kwenye majivu. Au unataka kusemaje?
 
Kijana sijui hata kama mitihani yako ulikua unafaulu kweli nishasema sikulazimishi uniamini kuhusu hii tiba salama ya majivu kuzuia mimba 100%.sio sheria unifuatishe mm ila mm na mpenz wngu ndo njia pekee tunayo tumiaga kuzuia mimba miaka 4 yote ya uhusiano wetu tukiwa tuna fanya hili tendo.Na mpaka saiz tuna mtoto mmoja usije ukasema labda sisi ni wagumba.isitishe hata rafiki zangu wa karibu huwa wanatumia hii njia japo mwanzoni walikua ni wabishi kuelewa kama mm.
 
Kwani mnashindwa nini kutuenzea mode of action ya majivu yenu?

Kwamba mmebahatisha mkaendelea kufurahia uzinzi siyo proof kwamba kuna kinga kwenye majivu. Au unataka kusemaje?

U have my word kesho ntakuletea majibu ya kisayansi km utakavyo. Kwa sasa nalala.
hints to follow:
1. Mazingira ya kutungwa / kutotungwa mimba.
2. Muundo wa majivu kikemia
3. Athari ya majivu mwilini (uhusiano na kutungwa mimba)
4. Waweza fatilia pia ili uwe na hoja zenye mjazo na sio kubisha ili usifiwe.
 
Kijana sijui hata kama mitihani yako ulikua unafaulu kweli nishasema sikulazimishi uniamini kuhusu hii tiba salama ya majivu kuzuia mimba 100%.sio sheria unifuatishe mm ila mm na mpenz wngu ndo njia pekee tunayo tumiaga kuzuia mimba miaka 4 yote ya uhusiano wetu tukiwa tuna fanya hili tendo.Na mpaka saiz tuna mtoto mmoja usije ukasema labda sisi ni wagumba.isitishe hata rafiki zangu wa karibu huwa wanatumia hii njia japo mwanzoni walikua ni wabishi kuelewa kama mm.

Mimi huwa sijui danger or safe day. Mood ukija tu, najipa. Majivu salama yanatenda miujiza
 
Kwa ndugu zangu wagogo wao kuna aina fulani ya mawe wanayafunga kwenye kamba then wanavaa kiunoni kama shanga so wakitaka kupata mimba wanavua mechi za mchangani zinaendlea,wakitaka wasipate mimba wanavaa shanga zao za mawe
 
Mimi huwa sijui danger or safe day. Mood ukija tu, najipa. Majivu salama yanatenda miujiza

Believe it or not ila majivu ndo dawa ya jeuri ya mimba big up sana nilidhani najua mwenyewe kumbe hii siri imesambaa.
 
Believe it or not ila majivu ndo dawa ya jeuri ya mimba big up sana nilidhani najua mwenyewe kumbe hii siri imesambaa.

I use it, na nimeweka hapa ili atakaependa atumie. Ajali afya yakee pia.
 
Tunapokula chakula kikawaida kuna namna ambayo kinabadilishwa na kusambazwa mwilini kwa njia ya damu!

Damu ya mwanadamu, kwa wastani ina pH ya 7.4. Ili mwili wa mwanadamu ufanye kazi sawasawa, unahitaji pH kati ya 6.8 - 7.8. Zaidi ya hapo mifumo mingine haitofanya kazi sawasawa!

Majivu (ya mkaa au kuni) yana madini ya "magnesium, calcium, na potassium". Ifahamike kwamba "calcium" inatabia ya kuongeza pH. Kwahiyo utakapokunywa maji/kimiminika chenye "calcium" ni dhahiri kwamba pH ya mwili itaongezeka na yamkini inaweza kusababisha mimba isishike!

Mmh! sasa mbona wakati napata ujauzito nilikuwa kwa miezi miwili mfululizo nilikuwa natumia dozi ya calcium na glucosamine kwa ajili ya arthiritis lakini nilishika mimba? au neno "yamkini" lina-apply hapa?
 
Kiboko cha yote ni fragyl + piriton hata ingekuwa siku ya 14.
 
Mmh! sasa mbona wakati napata ujauzito nilikuwa kwa miezi miwili mfululizo nilikuwa natumia dozi ya calcium na glucosamine kwa ajili ya arthiritis lakini nilishika mimba? au neno "yamkini" lina-apply hapa?

Tiba au kinga zina mazingira mengi...
 
Dina sio vizuri hivyo uwe unajibu maramojamoja basi .Maana nimetuma kama mbili hivi tena za amani tu lakini hakuna majibu .sijui huwa hazikufikii hahhahhahhahhah.

Hey dude respect yourself whether you stay in Songea or Dodoma she doesn't give a f.u.c.k usilazimishe kujibiwa ulichoandika kwenye pm na usilazimishe urafiki sasa umevuka mipaka
 
Back
Top Bottom