Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Hapo kwenye blue ndipo umeonesha utoto wa kiwango cha juu. Nahitaji siafa za nini wakati hata jina ninalotumia hapa ni bandia?
Na kabla ya kusema hayo umejaribu kufuatilia mada ambazo huwa ninachangia na kujiridhisha kuwa unadeal na mtu wa namna gani?
You just need to do your homework before utter any word, especially if it can be offensive to your colleagues!
Mkuu Dark City huu muda wote umeupata wapi jaka...anyways nitakucheki mkuu. Hii MMU naona inaelekea siko
Last edited by a moderator: