Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ipi ni njia nzuri?
Hongera mammie kwa hilooo
Mkuu Barasu umeeleza vizuri sana,,lakini ss hiyo pH inapoongezeka inazuia vp mimba isitunge?
Na pia unywaji wa maji yenye hiyo calcium hauna madhara yoyote kwa mwili wa binadamu?
Kwakweli mimi siyo mtaalamu wa haya mambo ila ngoja nijaribu kukujibu kama ifuatavyo...
Ili mimba itungwe, pH ya mwili ni lazima iwe "normal". Rejea andiko langu la awali. Mbegu zi seli hai. Hivyo kama mwili una pH ya tindikali zaidi (more acidic) au alkali seli hizo zitakufa! Hujawahi kusikia watu wanakisema kunywa juisi ya ndimu au chungwa kabla ya tendo linafanya usishike mimba? Hujawahi kusikia watu wakisema unashariwa usile vyakula vyenye kuongeza asidi ya mwili kama unahitaji kushika mimba? Nadhani hapa utakuwa umenielewa. Kama nimekosea niwieradhi na naomba wenye uelewa zaidi watuweke sawa.
Madini ya Calcium tunashauriwa kula kwani ni muhimu kwa mifupa! Hapa utofauti ni kwamba, kwenye majivu kuna calcium kwa wingi. Na kwakuwa majivu yatakuwa yamechanganywa na maji, basi myeyusho wake utakuwa ni wa haraka na utapelekwa kwenye damu na kusafirishwa mwilini kwa haraka zaidi.
Nadhani nitakuwa nimejibu swali lako japo kidogo!
Mmh! sasa mbona wakati napata ujauzito nilikuwa kwa miezi miwili mfululizo nilikuwa natumia dozi ya calcium na glucosamine kwa ajili ya arthiritis lakini nilishika mimba? au neno "yamkini" lina-apply hapa?
Hahaaa..,ngoja niwaletee ng'ombe/jani kwanza zipigwe
Nani kakuambia kalenda inauzwa? mtoa maada amesema njia ya asili ya kuzuia mimba au wewe unaifahamu ipi iwe ya asili lakinikwani kalenda shilingi ngapi.mkoje nyie?
Weweeeeeee zipigwe iliiii
njia ya kuzuia mimba ni kuacha kufanya ngono zembe...kutumia madawa ni kuharibu au kutoa mimba na siyo kuzuia.
Pole kwa kuumwa. Samahani ila inaonekana ulikuwa na tatizo la upungufu wa madini ya calcium mwilini ndiyo maana ulikuwa na hilo tatizo la "arthiritis". Ulipoandikiwa hizo dawa zilikusaidia kuweka mwili kwenye hali ya kawaida. Halafu, hizi dawa huwa zinakuwa na kiwango kidogo cha calcium na "dose" huwa ni ile ya kulingana na tatizo lenyewe!
Nina uhakika calcium utakayoipata kwenye kidonge kimoja ni kiasi kidogo sana kulinganisha na kiwango cha calcium utakachokipata kutoka kwenye gilasi moja ya maji ya majivu! Bahati mbaya sina takwimu halisi.
Wakati wa ujauzito nilikuwa nakunywa zaidi ya glasi 4 za "juisi ya majivu" ili kutuliza kiungulia kikali nilichokuwa nacho. Sasa ninachojiuliza ni kuwa kwa nini majivu yaweze kuzuia mimba halafu hayo hayo yawe rafiki kwa mimba iliyokwisha tungwa.
Halafu katika pita pita zangu huwa naona wanawake wanaotaka kubeba mimba wakishauriwa wale madini ya calcium na folic acid ili ku-boost fertility. Inakuwaje hii? Mnanichanganya mjue.
Nikuhangaika tu hakuna njia yenye kuaminika hizo mbegu za papai niliwah kutumia lkn mimba ilingia kdg nilidumu ktk kalenda cku nikipata njia mbadala mbona nitafurah