Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Tumieni daytimer ni nzuri
 
Last edited by a moderator:
Kwakweli mimi siyo mtaalamu wa haya mambo ila ngoja nijaribu kukujibu kama ifuatavyo...

Ili mimba itungwe, pH ya mwili ni lazima iwe "normal". Rejea andiko langu la awali. Mbegu zi seli hai. Hivyo kama mwili una pH ya tindikali zaidi (more acidic) au alkali seli hizo zitakufa! Hujawahi kusikia watu wanakisema kunywa juisi ya ndimu au chungwa kabla ya tendo linafanya usishike mimba? Hujawahi kusikia watu wakisema unashariwa usile vyakula vyenye kuongeza asidi ya mwili kama unahitaji kushika mimba? Nadhani hapa utakuwa umenielewa. Kama nimekosea niwieradhi na naomba wenye uelewa zaidi watuweke sawa.

Madini ya Calcium tunashauriwa kula kwani ni muhimu kwa mifupa! Hapa utofauti ni kwamba, kwenye majivu kuna calcium kwa wingi. Na kwakuwa majivu yatakuwa yamechanganywa na maji, basi myeyusho wake utakuwa ni wa haraka na utapelekwa kwenye damu na kusafirishwa mwilini kwa haraka zaidi.

Nadhani nitakuwa nimejibu swali lako japo kidogo!

Mkuu Barasu umeeleza vizuri sana,,lakini ss hiyo pH inapoongezeka inazuia vp mimba isitunge?
Na pia unywaji wa maji yenye hiyo calcium hauna madhara yoyote kwa mwili wa binadamu?
 
Last edited by a moderator:
Kwakweli mimi siyo mtaalamu wa haya mambo ila ngoja nijaribu kukujibu kama ifuatavyo...

Ili mimba itungwe, pH ya mwili ni lazima iwe "normal". Rejea andiko langu la awali. Mbegu zi seli hai. Hivyo kama mwili una pH ya tindikali zaidi (more acidic) au alkali seli hizo zitakufa! Hujawahi kusikia watu wanakisema kunywa juisi ya ndimu au chungwa kabla ya tendo linafanya usishike mimba? Hujawahi kusikia watu wakisema unashariwa usile vyakula vyenye kuongeza asidi ya mwili kama unahitaji kushika mimba? Nadhani hapa utakuwa umenielewa. Kama nimekosea niwieradhi na naomba wenye uelewa zaidi watuweke sawa.

Madini ya Calcium tunashauriwa kula kwani ni muhimu kwa mifupa! Hapa utofauti ni kwamba, kwenye majivu kuna calcium kwa wingi. Na kwakuwa majivu yatakuwa yamechanganywa na maji, basi myeyusho wake utakuwa ni wa haraka na utapelekwa kwenye damu na kusafirishwa mwilini kwa haraka zaidi.

Nadhani nitakuwa nimejibu swali lako japo kidogo!

nimekupata mkuu
 
Pole kwa kuumwa. Samahani ila inaonekana ulikuwa na tatizo la upungufu wa madini ya calcium mwilini ndiyo maana ulikuwa na hilo tatizo la "arthiritis". Ulipoandikiwa hizo dawa zilikusaidia kuweka mwili kwenye hali ya kawaida. Halafu, hizi dawa huwa zinakuwa na kiwango kidogo cha calcium na "dose" huwa ni ile ya kulingana na tatizo lenyewe!

Nina uhakika calcium utakayoipata kwenye kidonge kimoja ni kiasi kidogo sana kulinganisha na kiwango cha calcium utakachokipata kutoka kwenye gilasi moja ya maji ya majivu! Bahati mbaya sina takwimu halisi.

Mmh! sasa mbona wakati napata ujauzito nilikuwa kwa miezi miwili mfululizo nilikuwa natumia dozi ya calcium na glucosamine kwa ajili ya arthiritis lakini nilishika mimba? au neno "yamkini" lina-apply hapa?
 
hahaahaaa ndo maana wanawake
wengine wanasauti ngumu ka wanaume,inawezekana sugu ya juice ya majivu,hahaaa jamani kuna cancer ya koo,
 
Weweeeeeee zipigwe iliiii

masai dada aliniambia nikikuona nikusalimie basi kwa kuwa nimekuona wacha nizifikishe salama mambo vipi mzima weye.mimi mzima basi nakuacha na ujumbe usimao SIO VIZURI KUVUJISHA PM za SALAMU HUMU KWANI WEWE HUPENDI KUSALIMIWA TU.INASIKITISHA SANA KWAKWELI KUmfuatilia Mtu Ambaye Hakufuatilii Kumjali Mtu Ambaye Hakujali ,kumpenda Mtu Ambaye Hakupendi ,kuongea Na Mtu Ambaye Hakusikilizi .HII MIKOSI KATIKA MAISHA YANGU SIJUI ITAISHA LINI.
 
Last edited by a moderator:
njia ya kuzuia mimba ni kuacha kufanya ngono zembe...kutumia madawa ni kuharibu au kutoa mimba na siyo kuzuia.
 
Pole kwa kuumwa. Samahani ila inaonekana ulikuwa na tatizo la upungufu wa madini ya calcium mwilini ndiyo maana ulikuwa na hilo tatizo la "arthiritis". Ulipoandikiwa hizo dawa zilikusaidia kuweka mwili kwenye hali ya kawaida. Halafu, hizi dawa huwa zinakuwa na kiwango kidogo cha calcium na "dose" huwa ni ile ya kulingana na tatizo lenyewe!

Nina uhakika calcium utakayoipata kwenye kidonge kimoja ni kiasi kidogo sana kulinganisha na kiwango cha calcium utakachokipata kutoka kwenye gilasi moja ya maji ya majivu! Bahati mbaya sina takwimu halisi.

Asante kwa kunipa pole ya maumivu. Yalishapungua kwa kiasi kikubwa. Wakati wa ujauzito nilikuwa nakunywa zaidi ya glasi 4 za "juisi ya majivu" ili kutuliza kiungulia kikali nilichokuwa nacho. Sasa ninachojiuliza ni kuwa kwa nini majivu yaweze kuzuia mimba halafu hayo hayo yawe rafiki kwa mimba iliyokwisha tungwa. Halafu majivu si alkali? si inatoa mazingira rafiki kwa mbegu tofauti na asidi inayoua mbegu ikizidi kwenye mwili wa mwanamke? Hebu nielimishe hapa. Halafu katika pita pita zangu huwa naona wanawake wanaotaka kubeba mimba wakishauriwa wale madini ya calcium na folic acid ili ku-boost fertility. Inakuwaje hii? Mnanichanganya mjue.
 
Calsium kwa dozi gani? Mimba km imetungwa haitoki. Ila hayaruhusu mimba kuingia.
 
Wakati wa ujauzito nilikuwa nakunywa zaidi ya glasi 4 za "juisi ya majivu" ili kutuliza kiungulia kikali nilichokuwa nacho. Sasa ninachojiuliza ni kuwa kwa nini majivu yaweze kuzuia mimba halafu hayo hayo yawe rafiki kwa mimba iliyokwisha tungwa.

Mimba ikishatungwa na ikakuwa, kiumbe kinalindwa na mfuko maalumu ambao hauruhusu vitu visivyohitajika kwenda huko. Mimba kabla haijatungwa, hali ya pH ya mwili ni lazima iwe "normal" ili ishike. pH ikiwa nje ya kiwango husika mimba haiwezikushika. Kiungulia wanasema ni "acid" sasa unakunywa majivu ambayo ni "liming agent" kupunguza "acid" mwilini (kupunguza kiungulia). Kabla ya mimba kushika/kutungwa, ukinywa majivu, inawezakuufanya pH ya mwili kuwa "more alkaline" kitu ambacho si kizuri kiafya. pH ya mwili ni lazima iwe kati ya 6.8 - 7.8. Zaidi ya hapo utaumwa na mifumo mingi ya mwili haitofanya kazi.

Halafu katika pita pita zangu huwa naona wanawake wanaotaka kubeba mimba wakishauriwa wale madini ya calcium na folic acid ili ku-boost fertility. Inakuwaje hii? Mnanichanganya mjue.

Hao wanaoshauriwa wale madini hayo, ni pengine wamegundulika kwamba wana ongezeko la acid mwilini ndiyo maana wanashauriwa watumie madini hayo ili mwili uwe "balanced". Pia, "dose" watakayotumia ni ndogo sana!!!!
 
Nikuhangaika tu hakuna njia yenye kuaminika hizo mbegu za papai niliwah kutumia lkn mimba ilingia kdg nilidumu ktk kalenda cku nikipata njia mbadala mbona nitafurah
 
Nikuhangaika tu hakuna njia yenye kuaminika hizo mbegu za papai niliwah kutumia lkn mimba ilingia kdg nilidumu ktk kalenda cku nikipata njia mbadala mbona nitafurah

Hiyo hapo jaribu utanipa mrejesho
 
Back
Top Bottom