Njia za kiasili za kuongeza nguvu za kiume ni zipi?

Nonsense hahaha, pesa sio tatizo? says you who kila siku mnanisumbua na Mallerina eti sina hela

Kuhusu procedure ye achanganye changanye tu hayo mazaga haina formula πŸ™‚
Sasa kwenye kutongozana kwako na Madam president mimi naingiaje hapo 🀣? Yeye anataka mwanaume mwenye hela na wewe ni mbabaifu 🀣🀣🀣🀣🀣

Haya kuhusu procedure, nimekusikia, asante!
 
Wewe unajua dawa ya lipi kati ya hayo?
Mimi naona kwa kiwango kikubwa swala la nguvu za kiume linakuzwa tu. Wanaume wengi wako sawa. Anachohitaji ni utulivu wa akili tu. Kama mwanaume anahisi mke anacheat au mwanamke anaongea sana muda wote ni kelele, kama ana stress za kazi au madeni, kama anaumwa tatizo la sukari na magonjwa mengine ya mwili hatapiga show vizuri au kutosimamisha kabisa. Lakini pia itategemea kama afya ya mwanamke iko sawa.

Kabla ya kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume yashughulikiwe hayo hapo juu.
 
Njaa ndo chanzo cha upungufu wa nguvu, mbona vijijini hawana shida hii.
Pana siku nimeenda kwa mishe zangu za madini sasa msela kaimport aise nilisikia kitandana kinalalamika masaa matatu chumba cha pili kijijini hakuna ceiling board.
Nikasema wala chips wa mjini hata nusu saa hawawezi liza chaga.
Thus wanawake wa mjini ni malaya kwa sababu hawatoshelezwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…