Shedrack Laizer
New Member
- Jul 15, 2021
- 2
- 1
Njia za kuchoche mabadiliko kwenye Uchumi biashara,maendeleo ya jamiii,uwajibikaji, Demokrasia,sayansi na Technologia,haki za binadamu.
UCHUMI NA BIASHARA :Suala la uchumi linagusa Kila mtu hivyo serekali Ili kukuza uchumi kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wananchi umuhimu wa kulipa Kodi na faida zake kwenye kuinua uchumi wa Taifa,pia serekali kuruhusu wananchi kufanya bishara Halali na kulipa Kodi kulingana na uchumi wao.
MAENDELEO YA JAMII.ili jamiii ipate maendeleo ni lazima kuwepo na daraja kati ya wananchi na serekali na hili linafanikishwa na uwepo wa uongozina utendaji Bora katika jamii na serekali kusimamia ahadi zake kwa wa wananchi kama kutoa huduma muhimu katika jamii kama elimu,maji ,afya na nk.
UWAJIBIKAJI :Ili nchi iendelee Kila mtu anatakiwa awajibike kwanzia mwananchi kiongozi ,Hadi serekali kuu katika nyanja zote za kijamii,kisiasa kiuchumi Na Kila mtu kulisimamia amani ya Taifa kwa Ujumla.
DEMOKRASIA :Ili nchi iendelee kitaifa na kimataifa lazima iwe Watu,siasa safi na demokrasia serekali lazima iwajibike kusimamia Demokrasia kwa vyama vyoye bila kubagua chama chochote ikiwa ni pamoja na kuruhusu wapinzani kuelezea hisia zao ,kulishauri Taifa,kulikosoa Ili serekali ipate mahali pa kujifunza kutokana na makosa, pia kuruhusu mikutano ya hadhara kwa wapinzani Ili wananchi wapate kushiriki vyema katika siasa za vyama vyoye bilaku kubagua au kulazimisha au kutumika kwa nguvu.
KILIMO: Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa ,asilimia kubwa ya wananchi wamejikita, katiki Kilimo na ufungaji Ili kuimarisha sekta ya,kilimo nchini serekali kupitia taasisi au mashirika inabidi itoe fursa ya kutoa elimu kwa wakulima ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri wa kitaalam kuhusu Kilimo cha kisasa,matumizi ya mbegu za kisasa ,matumizi ya mbolea Ili kukuza mavuno kwa wananchi na pia kukuza uchumi kwa Taifa pale mazao yatakapouzwa kwenye masoko ya kimataifa,pia kuletaushindani kwenye kw wakulima.kwenye sherehe za wakulima mfano ,Sherehe za nanenane
SAYANSI NA TECKNOLOGIA : Dunia nzima iliwepo Tanzania Matumizi
ya technologia yemekua ya lazima na makubwa Ili kusaidia mawasiliano na utendaji wa kazi kuwa rahisi na haraka Ili Taifa iliendelee kwenye sekta hii ya sayansi na technologia serekali ianze kuimarisha elimu kwanzia Elimu ya msingi Ili kuwaandaa wanafunzi kuwa wanasayansiwa kizazi cha sasa na baadae pia kutumia wahitimu wa vyuo vya Hapa kuaajiriwa katika sekta mbalimbali kama mawasiliano na viwanda iki kuendeleza taaluma yao na kukuza uchumi kupitia wataalam wanaohitimu wa vyuo vya Hapa nchini nakuacha kuwategemea wataalam kutoka nje mfano, mafundi wa kurekebisha mitambo ya umeme,Mashine kama MRI nk.
HAKI ZA BINADAMU
Serekali kushirikana na wananchi ndio walengwa wakuu wakuimarisha na kitunza haki za binadamu ikiwa ni pamoja na kutoa hu hukumu kulingana na Sheria kwa wale wote wanaopatikana na hatia Kupitia mahakama na hili lisimamiwe na Mahakama bila kuingiliwa na muhimili mwingine wa serekali,pia viongozi au wananchi wasichukue Sheria mkononi kudhuru waalifu Bali wafikishwe kwenye vyombo vya usalama pai bunge lipitie Tena Sheria zinazotumika kulinda haki za binadamu Ili kutoa mwongozo au kutunga Sheria,zitakazolinda haki za binadamu na adhabu itakayotumika kuwadhibiti wote watakaokiuka.
AFYA: Ili kukuza sekta ya afya nchini serekali kishirikisha wadau ,wananchi,Mashirikapia kuruhusu wawekezaji kiwekeza katika suala na afya Ili kukuza sekta ya afya nchini. Pia serekali kushirikana na wadau kuendeleza kuimarisha upatikanaji wa dawa kwenye dispensari, vituo vya afya ,hospitali Ili kuwafikia wananchi kiurahisi kwa huduma Bora pia kuimarisha miundombinu ya majengo na upatikanaji wa vifaa Tiba na kuongeza wa rasimali watu kwa kutoa ajira kwa vijana wenye taaluma za afya kutoa huduma Bora, pia kuonyeza nyongeza ya mishahara kwa watumishi ilikuongeza motishana,na ufanisi kwenye kutoa huduma za afya Bora na rahisi kwa wananchi wote pia serekali ihimize upatikanaji Na matumizi ya bima kwa Kila mwananchi pia kuendeleza kupambana na kudhibiti magonjwa ya kuambukiza na yale yasiopewa kipaumbele kuwa kutoa elimu na njia kupambana kama inavyofanya kwenye ugonjwa wa covid 19
Hizi ni baadhi njia za kukuza na kuimarishana,kuchochea mabadiliko kwenye nyaja za kiuchumi na biashara,Afya na haki za binadamu Ili kukuza na kuendeleza Taifa lazima wananchi na serekali washiriki viwango vya juu.

Upvote
1