Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

View attachment 692993
............ na bado siachi pombe.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
upload_2018-2-9_12-23-36-jpeg.692999
 
Dawa ya kuacha pombe ni kufulia tu magufuli katuachisha wengi sana siku hizi tunawahi kurudi nyumbani tunaacheza na watoto michepuko tumeitelekeza
ahaaaah, hadi mnanyang'anyana remote hahahahaahahahah, wao wanataka katuni wewe unataka taarifa ya habari hahahahahaha
 
Back
Top Bottom