Ahsante kwa ushauri mzuri wenye mashikoKama unakunywa na salio linalobaki bank ni kubwa sanaaa kuliko unazotumia kwa kunywa pombe (Jibu ni DAWA HAKUNA)
ahahahhahahahahahaSasa wewe ndio hasa mzalendo. Yaani unatamani kuinua uchumi kwa kulipa kodi
Badili aina. Maana beer hunukia vizuri sanaSana ila nikisikia harufu tu nasikia kichefuchefu mwanzo mwisho
Niambie nianze na ipi!Badili aina. Maana beer hunukia vizuri sana
View attachment 692993
............ na bado siachi pombe.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Anza na castle liteNiambie nianze na ipi!
Uzoefu wangu ni Konyagi.
Kesho nitaleta mrejeshoAnza na castle lite
ahaaaah, hadi mnanyang'anyana remote hahahahaahahahah, wao wanataka katuni wewe unataka taarifa ya habari hahahahahahaDawa ya kuacha pombe ni kufulia tu magufuli katuachisha wengi sana siku hizi tunawahi kurudi nyumbani tunaacheza na watoto michepuko tumeitelekeza
Kumbe unafanya vitendo bila kuchelewa hahahahahaKesho nitaleta mrejesho
Ndio ni mimiNdiyo wewe huyo?
Mara gumegyme la hivi eti ni mkeo nitakubali kufa bachelor aisei..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Wadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!
Uroho uliopita kiasi, hahahahahahaHuyo dada mbona hivyo! Kwani watamnyang'anya?!!
Utambadilisha tu aendane na weweMara gumegyme la hivi eti ni mkeo nitakubali kufa bachelor aisei..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndio ni "mimi huyo"Ndiyo wewe huyo?
Mwanzako anatafuta namna ya kuchomoka wewe watamani kuingia, ama kweli dunia uwanja wa fujo.natamani unifundishe initoe stress
Yanini unajibambika mzimu wa namna hii??Utambadilisha tu aendane na wewe
Dawa ya kuacha pombe anza dozi ya Yesu mkuu.Wadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!