Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Wakuu!

Naomba mnisaidie jinsi ya kuacha kunywa pombe, yani nakunywa sana bia.. Nataka kuacha ila nashindwa.

Cha ajabu nikinywa bia, huwa nasikia sana raha, kama nilikuwa na stress zinapotea [emoji16]

Msaada wenu, naomba.
 
Acha ungese kata maji kesho supu kwangu, ila kila ukiagiza kumbuka kodi ya lord asije gonga asbh akakata stimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…