MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Rafiki yangu kaacha kunywa pombe na kuvuta sigara kabisa huu mwezi wa 4 sasa hajafanya kitu chochote kaacha tu na kwa sasa yupo vizuri kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app