Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Wakuu!

Naomba mnisaidie jinsi ya kuacha kunywa pombe, yani nakunywa sana bia.. Nataka kuacha ila nashindwa.

Cha ajabu nikinywa bia, huwa nasikia sana raha, kama nilikuwa na stress zinapotea [emoji16]

Msaada wenu, naomba.
Ni maamuzi thabit tu mkuu. Kama umedhamiria kweli acha kuanzia leo
 
Wakuu!

Naomba mnisaidie jinsi ya kuacha kunywa pombe, yani nakunywa sana bia.. Nataka kuacha ila nashindwa.

Cha ajabu nikinywa bia, huwa nasikia sana raha, kama nilikuwa na stress zinapotea [emoji16]

Msaada wenu, naomba.
Hebu piga gambe wherever acha ungese...ushasema mwenyewe ukinywa unasikia raha
 
Wakuu!

Naomba mnisaidie jinsi ya kuacha kunywa pombe, yani nakunywa sana bia.. Nataka kuacha ila nashindwa.

Cha ajabu nikinywa bia, huwa nasikia sana raha, kama nilikuwa na stress zinapotea [emoji16]

Msaada wenu, naomba.

Usinywe glasi/chupa ya kwanza ya pombe, "japo kidogo tu...", "kwa leo tu...", "nasherehekea kuacha pombe..." na sababu kama hizo...

"Wengine hunywa pombe ili kuyazamisha mawazo... lakini siku hizi mawazo yamejifunza kuogelea..."
~ hajulikani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…