SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,038
- 8,929
Ha ha haKunywa bia wewe acha ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haKunywa bia wewe acha ujinga
Ni maamuzi thabit tu mkuu. Kama umedhamiria kweli acha kuanzia leoWakuu!
Naomba mnisaidie jinsi ya kuacha kunywa pombe, yani nakunywa sana bia.. Nataka kuacha ila nashindwa.
Cha ajabu nikinywa bia, huwa nasikia sana raha, kama nilikuwa na stress zinapotea [emoji16]
Msaada wenu, naomba.
Kwanini unataka kuacha
Utakuwa mtu wa kwanza kuacha pombe kipindi hiki cha uchumi wa kati
Mkuu umekuja tena kivingine? tuache basi tule hela zatuHa ha ha
Hebu piga gambe wherever acha ungese...ushasema mwenyewe ukinywa unasikia rahaWakuu!
Naomba mnisaidie jinsi ya kuacha kunywa pombe, yani nakunywa sana bia.. Nataka kuacha ila nashindwa.
Cha ajabu nikinywa bia, huwa nasikia sana raha, kama nilikuwa na stress zinapotea [emoji16]
Msaada wenu, naomba.
Kunywa bia wewe acha ujinga
Bia ina kisukari kuliko hiyo soda. Au kwa sababu soda ina ladha ya sukari basi unahisi ina kisukari zaidi??!!Kisukarini
Halafu unataka ufanye nini?
Hapana mkuu. Mi napita tu.Mkuu umekuja tena kivingine? tuache basi tule hela zatu
Nlijiuliza sana swali hiloHalafu unataka ufanye nini?
Wakuu!
Naomba mnisaidie jinsi ya kuacha kunywa pombe, yani nakunywa sana bia.. Nataka kuacha ila nashindwa.
Cha ajabu nikinywa bia, huwa nasikia sana raha, kama nilikuwa na stress zinapotea [emoji16]
Msaada wenu, naomba.
Halafu unataka ufanye nini?
Kwanini unataka kuacha
Jamani hii soda siipend!!!!
Hebu piga gambe wherever acha ungese...ushasema mwenyewe ukinywa unasikia raha
Nasikia wanaume wasokunywa pombe, wanapenda kwichi kwichi sanaaaa