Kwa kweli ndugu zangu EMT, HANDBOY NA PAULO mmenipa ushauri wa maana sana ambao umenifanya nione kama ndo nimeshaacha kabisa, nawashukuruni sana wakubwa na naahidi kuyatekeleza yote nliyoelezwa.
Ulevi wa nini? drugs, pombe au...
Kwani piwa ya mia becha tuu si unakua stimu fresh kabisa, so tht bado ain't a solution.tumia pesa zote zikiisha utaacha kunywa coz hautakuwa na pesa tena za kununulia bia
Ulevi wa nini? drugs, pombe au...
Ukiwa unatumia akli utaweza kuwacha ulevi, sababu ulevi ni ujinga na mtu mwenye akili hanunui ujinga ananunua elimu au vitu vya manufaa kwake na watoto zake.
Pesa unazo nunulia ulevi ukisave unaweza kujikuta umenunua kiwanja, na ukajikuta umeisha kuwa nazo za kujenga
nyumba :biggrin:
Sijasema walevi wote hawana viwanja au nyumba, lakini ni wajinga we kubali tu.fazaaa kakwambia nani kuwa walevi wote hawana viwanja na nyumba pia,kwa taarifa yako deals zote kwa sisi walevi zinaanzia bar,unaweza ukawa sio mlevi wa pombe ukawa na ulevi wako mwingine wa kupenda kuhonga wanawake,kipi bora?kunnywa bia 3 kwa afya au wewe kuhonga laki kwa mala.ya?
Sijasema walevi wote hawana viwanja au nyumba, lakini ni wajinga we kubali tu.
Mtu anaye lewa hakuna faida anayo pata, hebu nipe faida ya ulevi....Ukiweza kunipa faida ya ulevi tajua wewe sio mjinga :biggrin:
Ukiwa unatumia akli utaweza kuwacha ulevi, sababu ulevi ni ujinga na mtu mwenye akili hanunui ujinga ananunua elimu au vitu vya manufaa kwake na watoto zake.
Pesa unazo nunulia ulevi ukisave unaweza kujikuta umenunua kiwanja, na ukajikuta umeisha kuwa nazo za kujenga nyumba :biggrin: