ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
Mie mwenzenu ilikuwa ikipita siku sijanywa basi usiku ni balaa, Yaani ndoto za ajabuajabu, mara naongoza majeshi kuwapiga m23, mara maninja kama mia nne hivi wamenizingira napambana nao usiku kucha, Mara naongoza magari barabarani, Mara najenga maghorofa yanaporomoka..mara niko kizimbani, yaani ilimradi taabu tupu.. Baadae niliamua kukomaa wiki mbili bila kugusa saivi shwari, nikiamua leo ninywe au nisinywe shwari tu. Ila fanya mazoezi na maji kunywa kwa wingi.
daa we noma.yaani unawapiga m23!