I can imagine, am scared of alcohol kuliko kitu chochote.
Nipelekeniiii manake hadi maombi yalishindikana.
Huwaga natafuta kilichonifanya niache bange na pombe all at once that same night niligundua am pregnant.
That willpower.....where did it come from. And where did it go??
Sweetheart am never really sober.
Hapa nilipo kichwa kinauma mbayaaaa.
Na ukiniona huwezi kuamini am alcoholic.
I have a son, he is growing up.... I dont ever want him to see me this way.Tumia mbinu zote, maombi, rehab na nia ianzie kwako.
Kuna mahali wantoa ushauri/rehab pale sea cliff, wako vizuri ila sema aghali kidogo.
Pole, but hakuna kisichowezekana ukiamua.
Do it for your hubby na mtoto. I know sio kitu rahisi, maana tu kufanya diet ni ngumu sana, seuse kuacha pombe. Relapse haziwezi kukuacha kirahisi. Jichukulie kama 'a work in progress', don't declear kuwa pombe imekushinda.
Ngoja niitafute namba ya yule mtu wa rehab, unaweza ongea naye akakusaidia.
jibu jepesi kwa swali gumu...wewe unaonekana haujawahi kunywa.
Dah..! pombe ni noma, Nilikuwa sijawahi dhani naweza nikapitisha siku bila kunywa na tena sio kidogo, siku nisipokunywa ilikuwa balaa, ni ndoto za ajabu, Mara napambana na maninja usiku kucha, mara naendesha boonge la semi trailer napinduka nalo, mara naongoza vikosi vya jeshi vitani msitari wa mbele yaani ilikuwa inakuwa taabu tupu, but when I DECIDED that's when I stopped. Kwa sasa namaliza hat mwezi sijaonja. Thank GOD.
Jamii forum dr kuna ndugu yangu anasumbuliwa na tatizo la ulevi wa pombe je ni kitu gani afanye kuacha hiyo kitu?
Nipelekeniiii manake hadi maombi yalishindikana.
Ha ha ha! We jamaa ni noma, umenikumbusha wakati najaribu kupunguza pombe, ilikuwa inabidi nilale na vikopo 2 vya safari.
Ila inawezekana, unaanza kwa kutokunywa katikati ya wiki, then baadaye unaskip baadhi ya weekends mwisho unashangaa mwezi unapita.
Mind you! Ni rahisi kuacha pombe kama hutumii pombe za kienyeji, ukishaanza kutumia pombe za kianyeji ujue wewe kuacha pombe tena ni issue. (Zile pombe ni kama zinawekewa dawa ili uendelee kuwa mteja)
Dr gudman 0719974927, yupo anapatikana tabata anatibu hayo magonjwa ya dawa za kulevya, pombe.. anatibu ubongo so dawa zinakufanya uache pombe au madawa, dawa si za miti shamba bali ni za marekani na nzuri..