Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

pole sana jamaa yangu.pombe inatesa sana na mimi ni muhanga,hapa nilipo na comment huku natoa lock na kili baridi.karibu toroka uje kimara hapa tupige mbili tatu huku tukijadiliana namna ya kujinasua.daah pombe jamani
 

Pole sana mkuu.
Kunywa pombe kwa kiasi na kwa uhitaji ni muhimu sana, sio lazima unywe kila siku hata kama huna hamu ya kunywa.
Ki ukweli kuacha pombe ni kazi sana hasa unapokuwa umefika level uliyopo wewe. Mimi naushauri yafuatayo:-

1. Kwanza kabisa, Mrudie Mungu kwa kufanya ibada na kushiriki mambo ya kiimani hasa muda unaokuwa free.

2. Washirikishe watu wako wa karibu juu ya nia yako ya kuacha kunywa pombe, watu hao ni kama Mama, mke, rafiki wa karibu n.k ili wakusaidia kwa namna moja au nyingine.

3. Muone dactari wa mambo ya saikolojia akusaidie jinsi ya kujinasua na kama ataona kuna umuhimu utapelekwa sehemu maalumu kwa uangalizi wa karibu.

Kumbuka: Madhara uliyoyataja ni yale tu ambayo umeyagundua wewe na sio dactari hivyo kuna uwezekano ukawa umeathirika zaidi ya ulivyo eleza.
 
Ukitaka kuacha bia / viroba - anza kwa kutumia wine ya Rosele, inaondoa kabisa hamu ya pombe.
 

linko tuko wengi me siwezi lala mpaka nilewe kaka nimeshindwa acha iyo kitu
 
Unajitia kwenye risk ya kupata magonjwa hatari sana kama vile Liver cirrhosis hasa hizo pombe zilizotokana na Distillation na hasa hivyo Viroba,

Mkuu kaa chini tafakari,kisha jihurumie and then chukua hatua before it's too late,

Remember, if u can't change urself then nobody can change you!

Good luck
 
Kunywa kwa kiasi sio mbaya maana ukiacha utahamia kwenye uzinzi kitu amacho ni kibaya zaidi.
 
Pole sana.
Ila mi siachi pombe, labda pombe iniache. Inamaana hutaki Tanzania ya viwandawewe??!.
 


Vuta Sigara!
 
pole sana jamaa yangu.pombe inatesa sana na mimi ni muhanga,hapa nilipo na comment huku natoa lock na kili baridi.karibu toroka uje kimara hapa tupige mbili tatu huku tukijadiliana namna ya kujinasua.daah pombe jamani
hahahahahahahahaa hatari yani mi nikiwa peke yangu tu nawaza pombe na viroba ndo napenda sana yani nimejaribu kukaa hata siku 3 bila kuonja nashindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…